Je, huwa unaignore baadhi ya status za watu whatsapp? Kwanini?

Je, huwa unaignore baadhi ya status za watu whatsapp? Kwanini?

Mie nime mute wale wotee wanao weka na kufuta Status kila time hasa Madem


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Inabidi uniambie hii inafaida gani?[emoji1][emoji1][emoji1] niliacha kuweka status sababu watu walikua wanacomment status zangu ila nikiangalia siwaoni kwenye views.

Sent using Jamii Forums mobile app
Inasaidia kuepusha lawama, Kuna watu huwa wanalalamika kwamba nakuona tu "unaview status zangu ila hata kucomment chochote hakuna" au hata salamu" eti wanataka ukiview status ucomment pia aargh , so it's better ukaview tu kimya kimya yani😀😀
 
Madhara ya modded APK.. mfano hizo Clone za GB Yo and Fm WhatsApp..

Ni kwamba utaitumia vzr.. ikisha expire.. kuna 59% ya ku win kufanya update au ukafeli ingawa update umefanya

Nikisema kufeli namaanisha unaweza install new update ktk system WhatsApp ikafunguka vzr tuu ila MAGROUP yote unakuwa Ume LEFT... yaan ina delete account yako mazima so ukifany update inaanza Upya.

Beware

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu unakuta kapata ki kazi fulani tu, cha kampuni ila kapiga hadi kitambulisho cha kazi kuweka status, ili tuone ,et anamshukuru Mungu, kwani Mungu ana smart phone!
yes
upo sawa,kule kumekaa kimiosho miosho na ulimbukweni mwingi .huwezi amini tangu niifahamu whatsaap status nilishawahi kupost mara moja tuu,tena haikuzi masaa mawili nikafuta![emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ivi kwenye iyo gb Whatsapp Ni kwa wapi una set ili kukamilisha ilo zoezi la kula chabo bila kubainika

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Chek hapo ktk hide view status
IMG_20200412_150756.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app

Privacy[emoji116]
 
Back
Top Bottom