Je, huwa unaignore baadhi ya status za watu whatsapp? Kwanini?

Je, huwa unaignore baadhi ya status za watu whatsapp? Kwanini?

Duh, Kuna watu wanaweka vijembe hao,mtu anaweka status si chini ya picha 10 why?, ni mwendo wa kuskip na kumute tu.

Hivi inawezekana mtu akaview status yako afu asionekane kwenye viewers ?,I mean akaview kimya kimya bila wewe kujua??

Yes inawezekana

Sent using IPhone X
 
[emoji116]
IMG_20200412_152438.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi hua naskip status za wapuuz ninaowajua na ninamake sure siview status ya x wangu yan Niko makini sana, kunakipindi niliview kwa bahat mbaya yani roho iliniuma siku nzima tho yeye zangu anaview bt siku iz naona kaacha kuangalia zangu pia , mda si mrefu namblock hadi sanduku la posta

Ahahaaa...nmejikuta nachekaa tuu,

iPhone 6s plus
 
Kila kitu kina mazoea mkuu mfano mimi sijawahi kuweka kabisa picha yangu WhatsApp ,pia nina rafiki yangu anamiliki simu ya mkwaja mrefu na hajawahi kujipiga picha hata moja

Sent using IPhone X
Kuna watu hawana kabisa ishu za kupiga picha hii nayo sijui huwa tunasemaje.
Mwingine unakuta hana muda na mtandao wa kijamii wowote ule.
 
Mtu unakuta kapata ki kazi fulani tu, cha kampuni ila kapiga hadi kitambulisho cha kazi kuweka status, ili tuone ,et anamshukuru Mungu, kwani Mungu ana smart phone!
[emoji31][emoji31][emoji31][emoji26][emoji31][emoji26][emoji31]
 
Duh, Kuna watu wanaweka vijembe hao,mtu anaweka status si chini ya picha 10 why?, ni mwendo wa kuskip na kumute tu.

Hivi inawezekana mtu akaview status yako afu asionekane kwenye viewers ?,I mean akaview kimya kimya bila wewe kujua??
Yah
 
Yah Kama unatumia gb au fm kwenye setting yake kuna kuhide hivyo una view kimyakimya bila mwenye nayo kujua
Duh, Kuna watu wanaweka vijembe hao,mtu anaweka status si chini ya picha 10 why?, ni mwendo wa kuskip na kumute tu.

Hivi inawezekana mtu akaview status yako afu asionekane kwenye viewers ?,I mean akaview kimya kimya bila wewe kujua??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wale wanaowekaga mambo yote ya maisha yao kuanzia asubuhi hadi jioni, yani akinywa chai ,lunch, dinner , akilala,sijui nani akimtembelea,sijui bajaji life ,akiiumwa, sijui maisha magumu,sijui kaachwa mara kapata bf mpya [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]sikuhiz huwa nawamute tu.
Maisha yao wiki nzima unayajua kupitia Status.. sijui wanakuwa na shida gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom