Je, huwa unaignore baadhi ya status za watu whatsapp? Kwanini?

Je, huwa unaignore baadhi ya status za watu whatsapp? Kwanini?

Hahah na mimi nashangaa siwezi kufanya hivyo lakini unakuta mshkaji kabisa anatoa sijui last seen anahide kuview ana kublue tick hajibu huwa sielewi kwakweli.
Wapo watu nimewamute ila sijawahi kumblock mtu kwa namna yoyote ilee.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah me Naonaga ni vya ajab
Kwanini usionekane yani,Usipoonekana then what next ?? Au blue tick hazisomi [emoji2][emoji2]hap unakut mtu anaenjoy eti hujaona kama amesoma au laa [emoji38][emoji38]
.
Hahahahh I never blocked Anyone ila me nimewah pigwa block(demu) [emoji38]
U are grown up ass. Wengine wanatakiwa waige mfano wako
Hahahahh Absolutely ,tell them home boi [emoji2936][emoji95][emoji2935]
 
Yeah me Naonaga ni vya ajab
Kwanini usionekane yani,Usipoonekana then what next ?? Au blue tick hazisomi [emoji2][emoji2]hap unakut mtu anaenjoy eti hujaona kama amesoma au laa [emoji38][emoji38]
.
Hahahahh I never blocked Anyone ila me nimewah pigwa block(demu) [emoji38]Hahahahh Absolutely ,tell them home boi [emoji2936][emoji95][emoji2935]
Wana utoto na ujana mwingi

Walikua wataacha
 
Yeah me Naonaga ni vya ajab
Kwanini usionekane yani,Usipoonekana then what next ?? Au blue tick hazisomi [emoji2][emoji2]hap unakut mtu anaenjoy eti hujaona kama amesoma au laa [emoji38][emoji38]
.
Hahahahh I never blocked Anyone ila me nimewah pigwa block(demu) [emoji38]Hahahahh Absolutely ,tell them home boi [emoji2936][emoji95][emoji2935]
Iphone hakuna ivo vitu[emoji23],

Android mtelezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi hua naskip status za wapuuz ninaowajua na ninamake sure siview status ya x wangu yan Niko makini sana, kunakipindi niliview kwa bahat mbaya yani roho iliniuma siku nzima tho yeye zangu anaview bt siku iz naona kaacha kuangalia zangu pia , mda si mrefu namblock hadi sanduku la posta

iPhone 6s plus
Bado mnapendana nyie
 
Ila sio vibaya pia Kama BAVICHA unalifahamu ili unisaidie,unajua tuko busy na corona nyie mna jamba tuuh amjui ata nchi inaendaje

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
BAVICHA ni mdudu gani?
 
Back
Top Bottom