Je, huwa unaignore baadhi ya status za watu whatsapp? Kwanini?

Je, huwa unaignore baadhi ya status za watu whatsapp? Kwanini?

Duh, Kuna watu wanaweka vijembe hao,mtu anaweka status si chini ya picha 10 why?, ni mwendo wa kuskip na kumute tu.

Hivi inawezekana mtu akaview status yako afu asionekane kwenye viewers ?,I mean akaview kimya kimya bila wewe kujua??
Yes, inawezekana ila mimi natumia Whatsapp Plus sijui wanaotumia official kama inawezekana
 
Ok,thank you ntajaribu pia hii
Kuna moja ya asili hiyo,unapoangalia zile picha juu Kuna mistari inayoonesha uko picha ya ngapi.Sasaaaa unapoangaliaa hakikisha umehold Ile line ya mwisho.Ile rangi ya blue inapofika kwa hiyo line tu unacancell fasta kabla haijamaliza .Kambinu pori hako lkn kanasaidia.
 
QUOTE="aimi lyatuu, post: 34948275, member: 342828"]
Mkuu kama unauzoefu na WhatsApp gb nisaidie sababu ninayoitumia inataka update na nimeenda playstore hawana Google na wao hawana...msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE]
Nimetumia FM WhatsApp kila siku Ku update had kero, saizi nipo na GB WhatsApp
 
Kuna wale wanaowekaga mambo yote ya maisha yao kuanzia asubuhi hadi jioni, yani akinywa chai ,lunch, dinner , akilala,sijui nani akimtembelea,sijui bajaji life ,akiiumwa, sijui maisha magumu,sijui kaachwa mara kapata bf mpya 😏😏😏😏sikuhiz huwa nawamute tu.
 
Back
Top Bottom