Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Download WAPlus APK For Android DevicesNdiyo na ntashukuru mkuu.
Mi wasap mwaka wa 3 huu sina, wakati natumia wasap gb au fm nilikua naangalia za dada yangu na mama yangu tuuu, nyingn siangaliii.
Niliacha kuangalia za wengine baada ya kuona mwanaume anaweka picha status karibia 10 hiv na mdada anaweka karibu 15 hiv hlf mwanaume anakuuliza kama umeona status aliyoweka. Mdada naye anakutumia msg "mbn huangaliii status zangu na wasap unaingia kila mda?" Nikaona isiwe kesi, hakuna kuona za kwao jumla
Unawekaje mkuuUnaweza kuweka off usionekane.
Inawezekana . kuna mtu ananilazmishaga nimuweke status ko nawapiga privacy wote illi ajione yeye tu lakin naona 3views lakin namwona mmoja alie niambia niweke lakin hawa wa2 mpaka kesho sijuagi ni wakina nan
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa baadhi ya watu wanaona hawapati attention wanayotaka ilihali wanaona kabsa unaeza kuangalia ila unapotezea
Kwa baadhi ya watu wanaona hawapati attention wanayotaka ilihali wanaona kabsa unaeza kuangalia ila unapotezea
Thank you mkuu
Aisee na ni msichana hupost status? HongeraMimi..hua naangalia status zooote wanazopost ila hutanikuta nacomment hata Siku Moja...namimi hua sipoat status kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah na mimi nashangaa siwezi kufanya hivyo lakini unakuta mshkaji kabisa anatoa sijui last seen anahide kuview ana kublue tick hajibu huwa sielewi kwakweli.Hayo Mambo Sijui
-ukiview usionekana
-Mara unatoa blue tick
Na Nyingine kama hizo
Me Naonaga Bonge la utoto Aisee
.
Yaani Nikiview Naonekana na ikichekesha Sivungi Nacheka kama kawa na sipendi kumuweka mtu blue tick bila kujibu endap itakua swali Hata Kama ni Siku 2 imepita ntajibu
Hakuna Niliem'mute kama kaweka utopolo Napita Shwaaaa Shwaaaa