Je, huwa unaignore baadhi ya status za watu whatsapp? Kwanini?

Je, huwa unaignore baadhi ya status za watu whatsapp? Kwanini?

Kuna matoleo-vision yanakubali Mimi kama Jana nime download YOwatsapp kupitia Google

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi apk zote zimegoma kusajili
Screenshot_20200413-085950.jpeg
 
Hayo Mambo Sijui
-ukiview usionekana
-unatoa blue tick
-Mara unatoa last seen
Na Nyingine kama hizo
Me Naonaga Bonge la utoto Aisee
.
Yaani Nikiview Naonekana na ikichekesha Sivungi Nacheka kama kawa na sipendi kumuweka mtu blue tick bila kujibu endap itakua swali Hata Kama ni Siku 2 imepita ntajibu

Hakuna Niliem'mute kama mtu kaweka utopolo Napita Shwaaaa Shwaaaa
Kabisa hayo mambo utoto tu
Sasa mtu unahide last seen kwanini?
Kuview status kimya kimya...
Sasa kama umeview ushaview tu hata ujifiche kiasi gani ukweli unabaki palepale
 
Back
Top Bottom