Je, huwa unaignore baadhi ya status za watu whatsapp? Kwanini?

Je, huwa unaignore baadhi ya status za watu whatsapp? Kwanini?

Madhara ya modded APK.. mfano hizo Clone za GB Yo and Fm WhatsApp..

Ni kwamba utaitumia vzr.. ikisha expire.. kuna 59% ya ku win kufanya update au ukafeli ingawa update umefanya

Nikisema kufeli namaanisha unaweza install new update ktk system WhatsApp ikafunguka vzr tuu ila MAGROUP yote unakuwa Ume LEFT... yaan ina delete account yako mazima so ukifany update inaanza Upya.

Beware

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka wa nne huu natumia haijawahi nitokea hiyo.....sijui wewe huwa unakwama wapi
Mimi natumia WhatsApp Plus lakini ambayo ukiingia playstore na kutaka kudownload whatsapp official inaonekana tayari ipo installed kwenye simu yako
 
Duh, Kuna watu wanaweka vijembe hao,mtu anaweka status si chini ya picha 10 why?, ni mwendo wa kuskip na kumute tu.

Hivi inawezekana mtu akaview status yako afu asionekane kwenye viewers ?,I mean akaview kimya kimya bila wewe kujua??
Toa read receipt hautaonekana
 
So nilichoongea ni Uongo au Wewe huja experience?!
Mwaka wa nne huu natumia haijawahi nitokea hiyo.....sijui wewe huwa unakwama wapi
Mimi natumia WhatsApp Plus lakini ambayo ukiingia playstore na kutaka kudownload whatsapp official inaonekana tayari ipo installed kwenye simu yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siweki status maana uwa sipendi watu wanisome mimi ni mtu wa aina gani..
Ujue unaposoma status za mtu unakuwa unamsoma maisha yake

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Mkuu kama unauzoefu na WhatsApp gb nisaidie sababu ninayoitumia inataka update na nimeenda playstore hawana Google na wao hawana...msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
GB whatsapp Inaitwa FMWHATSAPP 2 siku hizi. So kama bado hujapata msaada bofya hapa kupata latest one FMWA 2 APK - GBMOD.NET
Download then Install Ita-update hiyo Iliyopo.
*Tumia OPERA MINI, GOOGLE CHROME Inazingua hiyo link.

**Hii ni kwa FMWHATSAPP2(GB WHATSAPP) Ikikataa jua kwamba unatumia whatsapp tofauti na tajwa hapo juu.
 
Back
Top Bottom