Rajabmbisha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2024
- 316
- 530
Habari wana JF,ipo hivi Kuna binti mgeni hapa mtaani kwetu, aliletwa familia moja awasaidie kazi za ndani.
Si mnajua Tena akija mwanamke mpya lazima wanaume waanze process za kumunyatia.
kifupi huyu manzi nilitokea kuvutiwa nae,si mnajua warang walivyo wazuri
Siku moja natoka job nikakutana nae anatoka dukani nikaomba nikapewa freshi,nikaanza kumtongoza akaniambia Ana mtu wake.
Ila niliendelea kukaza hivyo hivyo Mara ukipga simu hapokei sms ukimtumia asubuh anajibu mchana nilikata tamaa sikumtafuta tena, kilicho fanya mpaka nikaja hapa.
Huyu manzi amenitafuta na anadai ananipenda tuna wiki tokea mawasiliano yarudi,kitu ambacho kinachoshangaza yupo sipeed sana, simu Kila Mara usumpufu Kama wote.
Ndo najiuliza hapa je huyu manzi ananipenda au ananichora tu, maana hawa viumbe siyo wa kuwaamini sana