Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 1,352
- 2,160
Ushahidi anao harafu anasumbua mahakamaUnakosa nafasi? Kua serious aisee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushahidi anao harafu anasumbua mahakamaUnakosa nafasi? Kua serious aisee.
Nipo makini Sana,lisije likanidondokeaJumba bovu hilo.
Anazingua sanaUshahidi anao harafu anasumbua mahakama
Nipo makini sanaShauri yako ogopa sana situation kama hiyo hapo kwa akili za hawa wenzetu kuna kitu kizito kakufichia akupige nacho
Tatizo ni mda,ila wiekiend hii simuachi,Anazingua sana
jibu hili apaHuyo Ana mimba tayari ya mshkaji mwingine hapo kitaa..
Uo ulazima ni wa huko kwenuSi mnajua Tena akija mwanamke mpya lazima wanaume waanze process za kumunyatia.
Unaoa eeh?Naoa kabisa
NAKAZIA 📌Huyo Ana mimba tayari ya mshkaji mwingine hapo kitaa..
😂😂😂😂😂😂😂 huyu jamaa soon anabebeshwa mzigo kati ya mimba ya kusingiziwa au Gono lisilotibikaMpime ngoma na mimba kabla hujala