Je, huyu Comedian anayekuja kwa Kasi Steve ni Pacha wake aliyekuwa Mchezaji Mtukutu Tanzania Haruna Moshi Boban?

Huku Daslam, Steve na Diamond ni watu mashuhuri sana, waliobeba nyoyo za watu wengi sana. Usipowafahamu hawa watu ujue wazi kuwa mwili wako upo duniani lakini roho yako iko kuzimu, kutokuwajua hawa, inaonesha dhahiri hata current issues za hapa nchini na duniani kwa ujumla huzifahamu. Hali hii husababishwa na vyanzo kama vile usonji, sonona, majukumu makali sana ya kifamilia ama mawazo magumu yaliyopitiliza

Mtu wa namna hii, hata umuitie Charlie Champlin aje amchekeshe akiwa uchi, bado hawezi kukenua hata sekunde. Maisha ya huyu mtu huwa hatiani kunyakuliwa
 
Hivi maaana ya great thinker ni nini???

Tusije tukawa tunapotezeana muda hapa!!
Mkuu, hilo swali ulitakiwa ukaliulize kwenye jukwaa la Great Thinker, baba yetu mpendwa, Melo, alilijua hilo na ndo maana akaweka jukwaa maalumu

Miaka ya 2007 to 2013, majukwaa yote JF yalikuwa nu maalumu kwa ajili ya GTs, kutokana na kuibuka kwa wimbi la vijana wa ovyo, Maxence Melo akaanzisha jukwaa la Celebrities na MMU pia Chit Chat akiwa na maana ya yeyote atakayetia reply yake humo, ajue wazi ana akili za kawaida, na sote hatuna utofauti kiviiiiile
 
Nimeshangaa sana hata mi simjui mbona
Dah! Mkuu punguza mawazo, usiwe busy na kazi muda wote, tenga muda maalumu kwa ajili ya refreshment, tv na simu ni muhimj kwa ajili ya mind refreshment. Ukizubaa utajikuta unakufa kibudu
 
Nimeshangaa sana hata mi simjui mbona
Hiyo 40,000 ni sawa na 0.00667% ya watanzania...
...
Ndiyo uone kuwa impact ya huyo mtu wako bado ni ndogo sana...
 
Hiyo 40,000 ni sawa na 0.00667% ya watanzania...
...
Ndiyo uone kuwa impact ya huyo mtu wako bado ni ndogo sana...
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hivi ni kwanini watanzania hatupendi kuona mafanikio ya wenzetu? Baba mzima na familia yake unachukua peni na karatasi unaanza kudukua mahesabu! Tena karatasi umenyofoa kutoka kwenye daftari la mwanao, mama anadhani unapiga mahesabu ya kujenga ukweni, kumbe mwenzangu na mie unapingana na mafanikio ya Steve.

Hii nchi ina mambo ya ajabu sana
 
Basi jaribu kubadilisha hicho kifaa cha mawasiliano unachotumia, badala yake nunua simu inayoeleweka
Haya mambo yanaendana na interest zako huko mitandaoni.
YouTube inakuletea aina ya vitu unavyo penda kuvifuatilia mitandaoni.
Mimi naingia kila siku YouTube natumia 1GB daily lakini sipati suggestion za huyo jamaa.
Napata news, sports, music, e.t.c na siyo video za comedy u habari za comedians.
 
Naona umeamua kuimba taarabu na kupiga kinanda wewe mwenyewe huku ukikata kiuno taratibu kwa madaha,

Binadamu tunatofautiana interest,kuwajua hao haimaanishi kua eti wewe ni bora zaidi ya ambao hawawajui hao,kijografia pia tunatofautiana,JF ni International forums,imebeba members wa kutoka nchi mbali mbali,acha kukariri kua members wa jf wote wanaishi Kijiji kimoja,

Unaweza ukajua hili ila wenzako wakajua lile ambalo wewe hulijui,hatufanani.
 
Kwa wewe ambaye Kilaza, Hesabu inakupiga chenga ndiyo utahitaji Peni na Karatasi...🀣🀣🀣
Hapo nimekuonesha wewe na uelewa wako finyu wa kuzodoa watu kwa kutomfahamu huyo mtu,how a fool you are....
Kwenye hii thread watu kibao tumeonesha kutomfaham huyo mtu,,,sasa watu wivu kwa mtu wasiyemfahamu du....
We kweli kilaza....πŸ˜‚πŸ€£
 
Mtandaoni Kuna comedians kibao wenye kutengeneza Content,yeye analazimisha kila mtu amjue anayemfuatilia yeye...doh.
Wakati kuna watu hata hii Jamiiforums hawaijui, na bado wanaishi na furaha zao.
Kweli ukiona elimu gharama ,jaribu ujinga....
 
Unachopenda wewe siyo kila mtu anapenda, Steeve black na Diamond kwako ndiyo wameushika moyo wako
 
Huyo kwenye avatar ni wewe??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…