Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Nahisi hapa ntaeleweka, kikubwa nunueni WiFi mjiachie, sio mnategemea bando la airtel la MB 245 kwa Tsh.500Haya maelezo yasingehitajika kama ungeweka picha tu mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahisi hapa ntaeleweka, kikubwa nunueni WiFi mjiachie, sio mnategemea bando la airtel la MB 245 kwa Tsh.500Haya maelezo yasingehitajika kama ungeweka picha tu mkuu
Mtamjua mkirisiti. Ukimjua muuza madafu wa Ikulu, basi umemjua na yeyetuweke picha tumjue
Huku Daslam, Steve na Diamond ni watu mashuhuri sana, waliobeba nyoyo za watu wengi sana. Usipowafahamu hawa watu ujue wazi kuwa mwili wako upo duniani lakini roho yako iko kuzimu, kutokuwajua hawa, inaonesha dhahiri hata current issues za hapa nchini na duniani kwa ujumla huzifahamu. Hali hii husababishwa na vyanzo kama vile usonji, sonona, majukumu makali sana ya kifamilia ama mawazo magumu yaliyopitilizaYani usipowajua hao watu ndio maisha ya mtu yanakua mafupi?
Je ni nani aliwahi kua na maisha mafupi kwa kutowajua hao?
Ni nani amewahi kua na maisha marefu kwa kuwajua hao?
Maisha mafupi na marefu yanapimwa kwa hesabu gani?
Kwani huyo Steve na Diamond ndio kina nani huko Daslam mkuu?
Mkuu, hilo swali ulitakiwa ukaliulize kwenye jukwaa la Great Thinker, baba yetu mpendwa, Melo, alilijua hilo na ndo maana akaweka jukwaa maalumuHivi maaana ya great thinker ni nini???
Tusije tukawa tunapotezeana muda hapa!!
Dah! Mkuu punguza mawazo, usiwe busy na kazi muda wote, tenga muda maalumu kwa ajili ya refreshment, tv na simu ni muhimj kwa ajili ya mind refreshment. Ukizubaa utajikuta unakufa kibuduNimeshangaa sana hata mi simjui mbona
Nimeshangaa sana hata mi simjui mbona
Hiyo 40,000 ni sawa na 0.00667% ya watanzania...Kama humfahamu huyu mwamba, basi maisha yako ni mafupi sana. Mtu anapata impression ya account 40,000 kila siku ndani ya YouTube ambazo 72 - 76 % ni Tanzania na Kenya unashindwaje kumfahamu?
Yaani ni sawa na mtu alete uzi wa Diamond halafu useme humjui hadi uletewe picha. Weka bando mkuu, acha kutia 50MB halafu utegemee kuYutubika
😂😂😂Hivi ni kwanini watanzania hatupendi kuona mafanikio ya wenzetu? Baba mzima na familia yake unachukua peni na karatasi unaanza kudukua mahesabu! Tena karatasi umenyofoa kutoka kwenye daftari la mwanao, mama anadhani unapiga mahesabu ya kujenga ukweni, kumbe mwenzangu na mie unapingana na mafanikio ya Steve.Hiyo 40,000 ni sawa na 0.00667% ya watanzania...
...
Ndiyo uone kuwa impact ya huyo mtu wako bado ni ndogo sana...
Haya mambo yanaendana na interest zako huko mitandaoni.Basi jaribu kubadilisha hicho kifaa cha mawasiliano unachotumia, badala yake nunua simu inayoeleweka
Naona umeamua kuimba taarabu na kupiga kinanda wewe mwenyewe huku ukikata kiuno taratibu kwa madaha,Huku Daslam, Steve na Diamond ni watu mashuhuri sana, waliobeba nyoyo za watu wengi sana. Usipowafahamu hawa watu ujue wazi kuwa mwili wako upo duniani lakini roho yako iko kuzimu, kutokuwajua hawa, inaonesha dhahiri hata current issues za hapa nchini na duniani kwa ujumla huzifahamu. Hali hii husababishwa na vyanzo kama vile usonji, sonona, majukumu makali sana ya kifamilia ama mawazo magumu yaliyopitiliza
Mtu wa namna hii, hata umuitie Charlie Champlin aje amchekeshe akiwa uchi, bado hawezi kukenua hata sekunde. Maisha ya huyu mtu huwa hatiani kunyakuliwa
Kwa wewe ambaye Kilaza, Hesabu inakupiga chenga ndiyo utahitaji Peni na Karatasi...🤣🤣🤣😂😂😂Hivi ni kwanini watanzania hatupendi kuona mafanikio ya wenzetu? Baba mzima na familia yake unachukua peni na karatasi unaanza kudukua mahesabu! Tena karatasi umenyofoa kutoka kwenye daftari la mwanao, mama anadhani unapiga mahesabu ya kujenga ukweni, kumbe mwenzangu na mie unapingana na mafanikio ya Steve.
Hii nchi ina mambo ya ajabu sana
Mtandaoni Kuna comedians kibao wenye kutengeneza Content,yeye analazimisha kila mtu amjue anayemfuatilia yeye...doh.Naona umeamua kuimba taarabu na kupiga kinanda wewe mwenyewe huku ukikata kiuno taratibu kwa madaha,
Binadamu tunatofautiana interest,kuwajua hao haimaanishi kua eti wewe ni bora zaidi ya ambao hawawajui hao,kijografia pia tunatofautiana,JF ni International forums,imebeba members wa kutoka nchi mbali mbali,acha kukariri kua members wa jf wote wanaishi Kijiji kimoja,
Unaweza ukajua hili ila wenzako wakajua lile ambalo wewe hulijui,hatufanani.
Huyo kwenye avatar ni wewe??Mkuu, hilo swali ulitakiwa ukaliulize kwenye jukwaa la Great Thinker, baba yetu mpendwa, Melo, alilijua hilo na ndo maana akaweka jukwaa maalumu
Miaka ya 2007 to 2013, majukwaa yote JF yalikuwa nu maalumu kwa ajili ya GTs, kutokana na kuibuka kwa wimbi la vijana wa ovyo, Maxence Melo akaanzisha jukwaa la Celebrities na MMU pia Chit Chat akiwa na maana ya yeyote atakayetia reply yake humo, ajue wazi ana akili za kawaida, na sote hatuna utofauti kiviiiiile
Ndonani tena huyo!?? 🤔