Je ? Huyu director wa hii movie anataka kuiambia nini Dunia

Brojust

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
369
Reaction score
1,093
Screenshot_20250713-063158_1.jpg

Wakuu, Najua wengine mpo kanisani sasahv au ndio mnajiandaa kwenda.

Licha ya nyuzi nyingi sana hapa jukwaani naomba kujua kwa uchache tu.

Director wa hii movie anataka kuthibitisha nini kwa walimwengu.

Natanguliza shukrani.

Freedom is coming, No Reform, No Election.

Kidumu chama Cha mapinduzi, Tuendelee kusaga Meno.

Asubuhi Njema.
 
View attachment 3403871

Mwingine huyu hapq
 
Hii movie nitaitafuta maana historia ya The Annunaki naifahamu vizuri tu. I wish watu wengi wafahamu kile wasichokijua ili wafunguke kiakili. Kwe the freedom is coming
 
Back
Top Bottom