Mwingine huyu hapqView attachment 3403871
Wakuu, Najua wengine mpo kanisani sasahv au ndio mnajiandaa kwenda.
Licha ya nyuzi nyingi sana hapa jukwaani naomba kujua kwa uchache tu.
Director wa hii movie anataka kuthibitisha nini kwa walimwengu.
Natanguliza shukrani.
Freedom is coming, No Reform, No Election.
Kidumu chama Cha mapinduzi, Tuendelee kusaga Meno.
Asubuhi Njema.
Hii gari ipo zenji maeneo ya ndijaniMwingine huyu hapqView attachment 3403878
Hii movie nitaitafuta maana historia ya The Annunaki naifahamu vizuri tu. I wish watu wengi wafahamu kile wasichokijua ili wafunguke kiakili. Kwe the freedom is comingView attachment 3403871