Je, huyu house boy atakuwa anavuta bangi?

huyo havuti bangi,ila anasukuma bangi!!
 
True. Heshima ni kitu cha bure sana ndugu yangu issenye.
Hukupaswa kunivunjia heshima, mimi sio mfiraji na wala sijawahi kushiriki hiyo dhambi.
Tuwe na kiasi katika kutamka kwetu. Tujifunze kuheshimiana na si kutukanana wala kudhalilishana, huo ndio utu
 
Ni kweli au ni fix? Hasa swala la gasi nimecheka! Basi huna house boy.
 
Wewe jamaa ni bingwa wa kutunga comedyπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
ningempa kesi yoyote kubwa kubwa kama ya wizi wa milion 600 hivi ili akawafokee na manyapara jela
 
ningempa kesi yoyote kubwa kubwa kama ya wizi wa milion 600 hivi ili akawafokee na manyapara jela
Ningekuwa nimetenda dhambi ya kimakusudi. Ningehukumiwa sana na dhamira yangu. Ningehukumiwa na walimwengu, ningehukumiwa hadi na shetani mwenyewe kabla sijahukumiwa na Mungu Baba
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mnawezaje haya mambo...!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…