Je, huyu house boy atakuwa anavuta bangi?

Ninaishi nje kidogo ya mji ambako nimejenga kanyumba kadogo tu ka kunisitiri.

Ninaishi na mvulana wa kazi ambaye huwa ananisaidia shughuli za nyumbani kama usafi, kupika, kuangalia nyumba nk

Juzi asubuhi nilikuwa natoka, akanifungulia geti, wakati narudisha gari nyuma nikaona analifunga geti, nikamuuliza mbona unafunga geti? Akanijibu nilidhani umeshatoka.

Jana nimechelewa kurudi, nikakaa getini kama dakika kumi, nimepiga sana honi, hakufungua, nikapiga Simu yake akawa hapatikani.

Nikachukia jiwe na kuanza kugonga geti, hatimaye akaja kunifungulia.

Nikaingiza gari ndani, niliposhuka akaanza kunigombeza kwanini namharibia usingizi, akaenda mbali kwa kusema kuwa kuzurura usiku ni tabia mbaya nitakutana na Malaya wanipe ukimwi.

Leo nimerudi jioni hii, ananiambia gesi imeisha hivyo mtungi ameutupa jalalani.

Uzuri ni kwamba jalala liko humu humu ndani ya uzio.

Hivi huyu angekuwa house boy wako ungemwelewaje?
😆😆😆
 
Huyo inatakiwa umchape maganja ya uso kama ma 4 hivi ataacha huo ungese wake wote maana hapo atajua utaki masihara
 
Mshamba katoka shamba

😀😀
Tumbua huyo
 
W

Hivi huyu angekuwa house boy wako ungemwelewaje?
Mnatunga stori kwa faida ya Nan. Chapa kazi ujiletee maendeleo
 
Mpeleke mirembe akapimwe, kama yupo poa "fukuza " ila kama ni mgonjwa mtibu na atabadilika. Nilifikiria ni chai ya tangawizi kumbe kuna wehu wa namna hiyo. Huwezi kumwambia bosi wako vile.

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
kwahiyo anaangalia nyumba tu.vp hauna katiivii awe anakaangalia
 
Ninaishi nje kidogo ya mji ambako nimejenga kanyumba kadogo tu ka kunisitiri.

Ninaishi na mvulana wa kazi ambaye huwa ananisaidia shughuli za nyumbani kama usafi, kupika, kuangalia nyumba nk

Juzi asubuhi nilikuwa natoka, akanifungulia geti, wakati narudisha gari nyuma nikaona analifunga geti, nikamuuliza mbona unafunga geti? Akanijibu nilidhani umeshatoka.

Jana nimechelewa kurudi, nikakaa getini kama dakika kumi, nimepiga sana honi, hakufungua, nikapiga Simu yake akawa hapatikani.

Nikachukia jiwe na kuanza kugonga geti, hatimaye akaja kunifungulia.

Nikaingiza gari ndani, niliposhuka akaanza kunigombeza kwanini namharibia usingizi, akaenda mbali kwa kusema kuwa kuzurura usiku ni tabia mbaya nitakutana na Malaya wanipe ukimwi.

Leo nimerudi jioni hii, ananiambia gesi imeisha hivyo mtungi ameutupa jalalani.

Uzuri ni kwamba jalala liko humu humu ndani ya uzio.

Hivi huyu angekuwa house boy wako ungemwelewaje?
Mtombe
 
Hayuko sawa kichwani
 
Peleka Milembe huyo jamaa
 
Back
Top Bottom