Je, huyu house boy atakuwa anavuta bangi?

Je, huyu house boy atakuwa anavuta bangi?

Pole Mimi Sitaki tena kusikia Msichana wa Kazi Wa kwangu ilikuwa Siku ya Jumamosi jioni tulienda Sokoni Mimi uwa Naemea vitu vya Wiki Nzima Sasa imefika Usiku nampa Maagizo Dada kesho Asubuhi tukiamka Ntaenda Kanisani Naomba utengeneze juice Uweke kwenye Friji pia Upange vitu kwenye Friji Halafu Upike tena na Maharage tena hapo tunapikia Rice cooker mi Uwa napikia pia Maharage Nanukuu Alivyonijibu "KWANI WEWE UWEZI KUPIKA KESHO YANI MIMI KWANZA KESHO NAENDA KUSALIMIA NDUGU YANGU MIMI NAPIKA KILA SIKU WE UKIPIKA MARAMOJA KWA WIKI UNASHINDWA???? "Mshenz kabisa nilimtimua hakuamini Macho yake .

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
Ulimfukuza kazi au ulimfukuza apotee mbele ya macho yako [emoji23]
Yani jumapili nilienda Church kama kawaida Aliona nilichukia ila Sikumsemesha Nilivyoludi tuu nikamuuliza unanidai sh ngapi????Nilikuwa nimempa Mshahara wiki Imepita Akaniambia Elfu kumi na Tano nikaingia Chumbani Nikampa Nikamwambia potea Sasa hivii nisikuone Machoni pangu Mjinga kabisa.

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
Aisee huyo muwahishe Milembe haraka iwezekanavyo sio akili zake kabisa.
Mtungi wa gesi unaisha unakwenda kuutupa dampo sio poa.
 
Huu ni uongo hakuna ukweli. Kama kutakuwa na ukweli basi wewe hauna adabu na nyumba yako ama mnamchezo mchafu mnafanyiana
 
Back
Top Bottom