Je, huyu house boy atakuwa anavuta bangi?

Je, huyu house boy atakuwa anavuta bangi?

Naamini hadi muda huu unavyoandika huu uzi basi umeshamrejesha ulipomtoa kwa maana sote tunajua kuwa huyo hayupo sawa.

Siku utakuta amechoma hako kanyumba kako moto na atakwambia ni kwasababu kulikuwa na panya ndani kaamua kumkomoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 daaaaaah!!!! Jamani eeee mtatuvunja mbavu ktk kipindi hichi cha majilio🤓🤓🤓🤓🤓
 
Shida umeianzisha wewe na bia zako za makopo, ukimaliza anakwenda kuyatupa. Kijana mwenyewe umemtoa kwenu kijijini pia haukumwambia atakuwa hausiboi ulimwambia anakuja kukaa na wewe! Sasa unamuita mbuta bangi! Acha hizo.
 
Oya huyo ni kichaa, lkn Mungu anakupenda kakuonesha vituko vyake vya mwanzo. Sasa subiri uone kubwa lake.

Mrudishe ulikomtoa haraka sana. Sio mtu wa kawaida huyo.
 
Back
Top Bottom