Iko hivi unapewa paying slip unaenda bank unalipa kisha unarudi na copy ya bank ya malipo unawapa mahakama wanakuandikia hiyoHivi matumizi ya risiti za kuandika kwa mkono si yamekatazwa? Kwanini hawakutoa EFD
Kumbe wewe hujui haya mambo madogo ya kisheria, ukishalipa benki unaleta risiti unaandikiwa risiti ya mahakama ambayo ndiyo legal document, legal receipt kuwa umelipa. Hiyo ndiyo ina legal effectSitaeleza mengi ila nitaachia picha iongee...
View attachment 1384541
Kinachohuzunisha na kusikitisha ni kwamba hii risiti imetolewa ofisini kwa Hakimu Mkazi Mwandamizi, Kisutu.
Mkuu Magazine, unahitaji miwani ya macho!.
No!, kaandika vizuri kabisa 30,000,000
Ile mistari miwili ya mwanzo na mwisho ni kuziba nafasi ili figures zisiwe tempered.
P
Pesa iliyoandikwa kwa maneno na tarakimu havilinganiMkuu Mag3, then vihiyo tutakuwa wengi!.
Mimi sijaona tatizo lolote na risiti hiyo.
Kwasababu watu tunatofautiana uwezo wa kuona, Mkuu Mag3, please share your observations utusaidie akina sisi tuliotoka ukoo ule wa washamba na malimbukeni, ili nasi kuona kile ulicho kinote..
P
Mkuu Magazine, unahitaji miwani ya macho!.
No!, kaandika vizuri kabisa 30,000,000
Ile mistari miwili ya mwanzo na mwisho ni kuziba nafasi ili figures zisiwe tempered.
P
Hutumiwa kwa migaoSamahani wakuu, naomba kuelimishwa hivi hizi pesa za faini kwenye makosa ya jinai hua zingia kwenye mfuko upi wa sirikali?
Msamehe tu inawezekana kati ya hiyo 30m yeye katoa 15m hela inauma ujue, kwa hiyo hata makosa ya kibinadamu hawezi kuyavumilia.Unashangaa nini? Afadhali ya huyo mwandishi alifanya kosa la kuongeza herufi S baada ya mllion. lugha hiyo ni ya kigeni. Wengi wenu humu ndani hata kiswahili hamkijui vizuri na mnaboronga kila siku.
Mkuu, kiuhasibu hiyo ni elfu 30,000. Kama ingekuwa hundi isingekubalika kufanya malipo. Amount in figures haifanani na amount in words. Hata waliopokea hiyo stakabadhi wamefanya makosa. Ilibidi waikatae.No!, ile mistari miwili sio cancel ya zile zero.
P
Na anayeangalia tarakimu ana makosa gani? Kama siyo ya umuhimu kwa nini iliandikwa?Haina shida angalia maandishi tuuu,
Na anayeangalia tarakimu ana makosa gani? Kama siyo ya umuhimu kwa nini iliandikwa?
Hahahaaaaa ila kweli mkuuMkipelekwa mikataba ya kimataifa ndio maana Watanzania wanakuwa hoi.
Hata kuandika risiti tu ya pesa shida. Hatuko makini kabisa.
Hawa watu ndio wanataka wagombea uchaguzi wa upinzani wasikosee hata herufi moja.
Hawajui hata kuandika risiti.
Pascal Mayalla, kama kwako Thirty Millions ni Milioni Thelathini, je Thirty Million ni kiasi gani?Mwanza umekuja na swali hili "Thirty millions ni kiasi gani?", nimekujibu vizuri tuu kuwa ni Milioni Thelathini. Naunga mkono hoja, hapa Mkuu Mag3 analeta mambo ya long experience ya uzoefu wa muda mrefu.
P
NAKWEDE, rudi darasani, usiogope umande...Je, Huyu karani aliyeandika stakabadhi ya serikali ya Jamhuri ya Tanzania yuko sahihi?
Ndio nini hicho uliachoandika hapo?
Kwanini ni thirty million sio thirty millions?Unashangaa nini? Afadhali ya huyo mwandishi alifanya kosa la kuongeza herufi S baada ya mllion. lugha hiyo ni ya kigeni. Wengi wenu humu ndani hata kiswahili hamkijui vizuri na mnaboronga kila siku.
Wewe ni Mwanasheria/Mwanahabari, mambo ya kihasibu tuachie wenyewe wahasibu. Sifuri zilizoko upande wa Cents zibakie kua ni Cents, Sio number nzima, lakini kosa jingine pia Sifuri zilizokatwa hazihesabiki. Na Mwishowe hatusemi MillionS.No!, ile mistari miwili sio cancel ya zile zero.
P