Je, Huyu karani aliyeandika stakabadhi ya serikali ya Jamhuri ya Tanzania yuko sahihi?

Je, Huyu karani aliyeandika stakabadhi ya serikali ya Jamhuri ya Tanzania yuko sahihi?

Hapo jakuhitajiki "management" ya aina yeyote ile. Ni simply a " cashier's receipt" ya hundi aliyopokea na ipo very clear kuwa ni ya million thelathini.

Halafu jifundishe "terminologies" za mambo ya uhasibu, ni "finance management" siyo"(financial) management". Ukisema "financial" labda iwe"manager" siyo "management".

Unaniuliza mimi kuhusu "management"? Just for your information, I am in the corporate League, way past mananagement mayhem.

You are simply a very lucky person to even have a pleasure of discussing nonsensical issues like this one with me. Thanks to social media.

Usilolijuwa ni usiku wa kiza. Kumbuka hilo.
Wakubwa hatubishani especially in sensitive issues like this. Asante kwa marekebisho uliyoyafanya, hizo ni typing errors tu.
Nimekusoma
 
Km aliepokea aliona ina mapungufu angerudisha akabadilishiwa.
Pia kuna suala la kutumia common sense na hapa wasomi wetu wana shindwa kutusaidia.
Maandishi hayana senti unajadilije suala la senti kwenye tarakimu?
Tatizo jingine la lugha ambayo kaweka s. Huyo mkaguzi atakaye komaa kupamba na s hana hekima na busara.
Kuwa odita haimaanishi yote ulofundishwa darasani ndio yapo kwenye ulimwengu kamili wa maisha ya kila siku.
Mwisho
Km umenunua mafuta ya gari kwenye filling station akakupa stakabadhi ya elfu kumi na mafuta kakupa ya laki na ww umemlipa laki na ukaridhika nani atakuwa na makosa?haki na wajibu wako ilikua nn?
 
Ndio maana nasema Ni mambo ya kipumbavu kwa sababu hakukuwa na ulazima wa kuweka humu Zaid ya kumuelimisha aliendika hyo stakabadhi

Kuweka humu haitosaidia kumuelimisha huyo aliekosea Jambo jema na busara Ni kumuelemisha hapo hapo alipo na kuchapa mwendo

Kuweka humu Ni kutafuta kiki za kipumbavu tu kwa mtu mmoja kukosea.kwa maana hakuna binadamu aliekamilika hata Mara Moja huo uhasibu nilishaupitia miaka hyo iliyopita na Nina elewa Kuna vitu ukivipa nafas vitapoteza muda wako wa kufikiria mambo ya msingi.

Wakati inaandikwa nadhani mhusika alikuwepo kwann asimwambie kuwa amekosea????

Mpaka anapewa stakabadhi anaiyona imekosewa kwann asiende sehemu husika kwa aliekuwa juu ya alieandika ili iwe cancelled na stakabadhi ilirudishwa mahala pake ikiwa cancelled?????

Kuleta humu Ni unafki na majungu tu

kilicho akilini kitumie
Kwa hivyo angemfuata mhasibu amueleimishe??

Acha ubinafsi kama nini ndiye muhasibu basi kubali umekosea usikataze watu na kuwapangia mahali pa kueleza madhaifu yako , poppte madhaifu yanaweza kuelezwa na njia rahisi ni hapa kwen jukwaa na ni salama zaid maana na wengine wanajifunza
 
Kama unaziona thamani mbili tofauti" hapo basi utanisamehe sana kukwambia kuwa shule ulienda kusomea ujinga.

Kama stakabadhi ina makosa basi mjinga ni aliyeipokea stakabadhi hiyo si aliyetowa. Kumbuka hilo.
Tatizo lako unataka uonekane kila jambo upo sahihi Leo umechemka
 
Kosa pekee kwangu ni kuandika milioni tatu na senti sifuri mahala panapopaswa kuandika tarakimu ktk hiyo risiti. Kiufundi hiyo risiti imekosewa, kiasi kwa tarakimu na maneno havina uwiano unaofanana.

Mtoa mada u-exaggerate kidogo. Upo sahihi ila umekua aggressive kidogo.
 
Mag3 hata sisi tuna mashaka na elimu yako umesoma vizuri ulichoandika katika kichwa cha habari ya siledi yako?
"Je Huyu karani aliyeandika stakabadhi ya serikali ya Jamhuri ya ya Tanzania atakuwa ama ni kihiyo au katokea ukoo ule ule wa washamba na limbukeni?"

Ilitakiwa "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania" badala "Jamhuri ya ya Muungano".
Makosa ni sehemu ya maisha ya binadamu lakini mkuu wangu Nguruvi3 amekomaa kumkashifu mwandika stakabadhi utafikiri na yeye hakosei.
 
Itakua mwanafunzi yuko field ndio amejaza hiyo receipt.
 
Tatizo lako unataka uonekane kila jambo upo sahihi Leo umechemka

Ooh, kama tatizo lako ni kusubiri mimi kutokuwa sahihi, basi kwa "vapacity" yako ninavyoisoma hapa, hautakuwa sahihi kunizidi hata kiduchu. Kumbuka hilo.

Wewe ambae hujachemka, sema tatizo ni nini?

Mjinga anaetoa fedha, million thelathini, anapewa stakabadhi ambayo Kwa muono wako wewe ambae upo sahihi unaiona ni shillingi ngapi zimepokelewa? Au mimi ambae naona imepokelewa hundi ya million thelathini ndiye sipo sahihi?

Hapo sasa!
 
Unashangaa nini? Afadhali ya huyo mwandishi alifanya kosa la kuongeza herufi S baada ya mllion. lugha hiyo ni ya kigeni. Wengi wenu humu ndani hata kiswahili hamkijui vizuri na mnaboronga kila siku.

Mh, na wewe umeandika mllion, ni neno gani hilo, du!
 
Wakubwa hatubishani especially in sensitive issues like this. Asante kwa marekebisho uliyoyafanya, hizo ni typing errors tu.
Nimekusoma
Hakuna "sensitive issues" kwenye hii mada. Ninayyoiona ni "issue" moja tu ya risiti. Hizo "sensitive issues" unazoziona wewe ziko wapi?
 
Mkuu Mag3, then vihiyo tutakuwa wengi!.
Mimi sijaona tatizo lolote na risiti hiyo.
Kwasababu watu tunatofautiana uwezo wa kuona, Mkuu Mag3, please share your observations utusaidie akina sisi tuliotoka ukoo ule wa washamba na malimbukeni, ili nasi kuona kile ulicho kinote..
P
Nimeona tarakimu ni elfu thelathini ila maneno ni milioni thelathini
 
Hatuna Serikali ya ya Jamhuri ya Tanzania. Vihiyo mpo wengi japo hamtoki wote kwenye familia ya washamba.
Sitaeleza mengi ila nitaachia picha iongee...

View attachment 1384541

Kinachohuzunisha na kusikitisha ni kwamba hii risiti imetolewa ofisini kwa Hakimu Mkazi Mwandamizi, Kisutu.
 
Check if words resemble the digits.
Ameacha nafasi kibao za digits mbele ya 30,000,000 akaandika kwa kubania hadi kwenye sehemu ya cents. Digits zote za 30,000,000 zingeweza kuenea kama angetumia umakini kidogo
 
Back
Top Bottom