Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
Huyo mwandishi ni mzembe wa hali ya kutukuka amejiharibia sana.Yes, kama hoja ni umakini, hata Ph.D level anaweza asiwe makini, kitu muhimu katika mahesabu ni getting fugures correct. Japo sifuri moja imeingia kwenye cents column, haisomeki kams cents kwasababu cents inakuwa separated na nukta.
Hizo hesabu ziko vizuri, aliyeandika sio kilaza, ila tusubiri observation ya Mkuu Mag3.
P