fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
Mama angu Faiza, unasema haliathiri kitu?! Hivi ulipitia hata kidogo maswala ya Finance Management? Auditor amekuja kufanya ukaguzi kwenye ofisi yako, wadhani hilo jibu ulilolitoa litajustify taarifa zako za kifeza?Tatizo lipo lakini mleta mada ilitakiwa alioneshe. Binafsi nimeliona lakini haliathiri kitu, ni dogo sana.
Waalim wangu wa "primary", kama sijakosea, ilikuwa darasa la tatu alinifundisha kuwa ukiandika "digits za amount" usianze kuandika kutoka kushoto kwenda kulia. Anza kulia kwenda kushoto. Naishi na somo hilo na laiti aliyeandika hiyo risiti angepitiadarasa Hilo asingefanya makosa wala haiumizi kichwa.
Pia jamani tusisahau, si kila siku watu wanapigwa faini za million thelathinni. Nalo linachangia.
Sio kila kitu siasa, mambo mengine acheni profession ichukue nafasi