mtoto mmoja alikua analia makaburini kelikeli sasa jamaa moja akapita akamuuliza mtoto analia nini. Mtoto akajibu kaka wa mke wa maiti ni mjomba wangu je huyu mtoto anahusiano gani na marehemu
kaka wa marehemu ni mjomba wangu,kwa kifupi mjomba ni ndugu wa mama,na yule mtoto pale sijui yuko nani?kama yupo na mama yake,au baba yake,basi mjomba wa mama yake ni babu yake.
kaka na mke wa maiti wote ni ndugu (dada na kaka) alafu kama kaka ni mjomba wa dogo inamaana kwamba mama yake na dogo ni dada wa kaka pamoja na mke wa marhmu hivyo dogo anamlilia baba yake (mdogo au mkubwa).
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.