je huyu marehemu anausiano gani na mtoto

Elly samm

Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
17
Reaction score
1
mtoto mmoja alikua analia makaburini kelikeli sasa jamaa moja akapita akamuuliza mtoto analia nini. Mtoto akajibu kaka wa mke wa maiti ni mjomba wangu je huyu mtoto anahusiano gani na marehemu
 
Mhmm! Nimetoka Bila haya mambo hadi uwe umefaulu mahesabu!!!
 
"Kaka wa mke wa mait"
Aliyekufa ni mume wa dada wa mjomba ake.
Mke wa marehem ni mama ake, kwahyo aliyekufa ni baba ake
 
Mi nilifikiri ntavunja mbavu kumbe nivunje kichwa tena!! na stress zoote hizi!!!
 
Baba

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
kaka wa marehemu ni mjomba wangu,kwa kifupi mjomba ni ndugu wa mama,na yule mtoto pale sijui yuko nani?kama yupo na mama yake,au baba yake,basi mjomba wa mama yake ni babu yake.
 
kaka na mke wa maiti wote ni ndugu (dada na kaka) alafu kama kaka ni mjomba wa dogo inamaana kwamba mama yake na dogo ni dada wa kaka pamoja na mke wa marhmu hivyo dogo anamlilia baba yake (mdogo au mkubwa).
 
ni baba wa uyo dogo kwa sababu mjomba wake na mke wa maiti ni ndugu yani ni kaka na dada kwainyo huyo marememu ni baba yake mzazi uyo dogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…