Je, huyu mtangazaji wa Abood ni Dullah wa EATV/ EA Radio?

Je, huyu mtangazaji wa Abood ni Dullah wa EATV/ EA Radio?

Napenda nifahamishwe mtangazaji Kamafa mara ya mwisho nilimsikiaga radio five,ya Arusha kwasasa ata sifahamu mwenye kujua hanijuze.
 
Kama ambavyo ukitaka kupata wanzuki lazima uchanganye kimpumu na ulanzi
Yani vinywAji vya home hivyo, wanzuki inaumuliwA siku 2 na kuvundikwa siku 2 sku ya 5 kuweka kwenye chupa, siku ya 6 ndo kupiga ulabu.
 
RFA na Kiss kama Mmiliki M1 ,Mara nyingi namsikia RFA kwa mfano Ijumaa alikuwepo kuanzia mida ya saa tatu mpaka saba usiku.
kama unamuongelea mbudu the boss utakuwa unaongopa jamaa yupo kivyake kabisa hafanani na adam hata chembe clouds nasikiliza RFA nasikiliza especially huyu jamaa utakuwa umemkosea kusema anamuiga Adam
 
kama unamuongelea mbudu the boss utakuwa unaongopa jamaa yupo kivyake kabisa hafanani na adam hata chembe clouds nasikiliza RFA nasikiliza especially huyu jamaa utakuwa umemkosea kusema anamuiga Adam
Huyo Huyo Mkuu.
 
Kuna kitangazaji cha RFA kinamuiga Mamy Baby wa Clouds hadi aibu najisikia mimi.
 
Upo Dar tu hapo unadhani ndo mwisho wa dunia, Siku ukifika newyork si utajiona upo mawinguni.

By the way ubunifu upo ndani ya mtu, haupo Dar es salaam, hao unaodhani ni watangazaji wa Dar walitokea mikoani kwenye local media wakaja Dar.... learn the history dogo....
Mkuu mbona kama umepaniki hivi?
 
Ata mm nilishangaa maana niliiskiaga kitambo akatoaga hadi kitabu
Mwifwa kile kipindi cha sitasahau kipo.
Nilisikilizaga story ya Zablon mwaka 2008 na Fredrick Bundala, tena leo nikiwa napita nimemsikia Zablon akiendelea kusimulia stori ile ile ila akiwa na Yusuph Magasha.
RFA wameiua na kubadilisha vipindi hata haitamanishi kwa sisi tulioijua.
 
Back
Top Bottom