Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tutake radhiWanawake wengi ni wachawi wametofautiana viwango tu,
Wachawi huwa hawapendani na wao ni hivohivo
Wakuu mmebarikiwà Sana na Mungu wa mbinguni hakuna laana.
Mpk hapa tunapoongea " Amemmiss"Shukuru sana roho mtakatifu hajakuacha mbali! Maana hizo ishara na ndoto zote ilikuwa ni katika kuhakikisha ulinzi wako kiroho vinginevyo ungelogwa vibaya sana!
Natumaini huyo kigagula ushaachana nae mpaka hapa tunapoongea
..Jibu linategemea na moyo wako upo upande gani mkuu.
Kama unampenda hatutii neno mkitengana utatuona sisi ndo wachawi.
Kwa hiyo ebu tuambie unampenda au ndo unamtafutia sababu ya kumtema tukusapoti shemela.
Wakuu mmebarikiwà Sana na Mungu wa mbinguni hakuna laana.
Niliwahi kuishi na mdada mmoja wa kiha.
Pengine sijaandika Tu ni kwamba nilikuwa nikistuka kumkata nilikuwa nasema Kwa Jina la YESU zote mara mbili SA kama HUyo YESU ni mchawi haya.Wote wewe na yeye ni wachawi, Kama wewe una nguvu ya ziada, ambayo yaweza huwa ya Mungu au pia ya kishetani
WaWakuu mmebarikiwà Sana na Mungu wa mbinguni hakuna laana.
Niliwahi kuishi na mdada mmoja wa kiha.
Kuna matukio mawili niliwahi kutana nayo wakati naishi naye. SIku moja usiku nzito Sana nikiwa nimelala na Yule Dada nikiona ndoto naona mle chumbani Kuna watu wanaingia huku mmoja akiwa amepanda mnyama mfano WA fisi nikianza kupambana nao nikafanikiwa kumshika Yule aliyekuwa juu ya Yule mnyama nikaaanza kumpiga Ile nanyanyua mkono kumpiga nikashangaa nimemshika Yule mdada niliyelala naye akaruka akashuka kitandani akakimbilia sebuleni.
TUkio la pili nikiwa na huyohuyo mdada usiku tukiwa tumelala nikaota Kuna MTU mwanamke amekaa kitandani ananiangalia Kwa macho makali huku ananicheka kicheko kikubwa nikaanza kupambana naye Ile najiinua nimkamate nikajikuta nataka kumkamata Yule mdada akashituka Sana.
Haya matukio yote skuwahi kumwambia mpaka naachana naye. Tukio la mwisho siku moja niliwahi kutoka kazini ye akawa amechelewa kurudi SA mi nikiwa NIPO juu ya kwenye kenchi nilikuwa narekebisha nyaya za umeme WA sola na nyumba ilikuwa haina gypsum kwahiyo chini huku NDANI Mtu akiingia unamuona vema kabisa nilimuona anaingia Kwa speed Sana kabla hajatua mizigo yake nikamuona amesimama NDANI kidogo karibu na mlango huku ameangalia nje akawa anatamka maneno ambayo sikuyaelewa huku anafanya ishara za kusonta nje Kwa kidole mi namchora.
Alipomalza mi nikakohoa kidogo ndipo akastuka nipo juu namuona aliona aibu Sana Sana hata kubadili nguo alishindwa kabisa. Mi skuhangaika Naye Sana kumuuliza nikaendelea na Mambo yangu akawa anaulza Kwa aibu eti kumbe ulikuwa huko juu mi nipo kimya Tu.
Je wakuu huyu Dada alikuwa mshirikina au alikuwa na tatzo gani?
Wajinga na washirikina huamini kila jambo hata ndoto.Hivi ungeota unakuwa bilionea au rais ungesema unayosema kama siyo wewe kuwa mshirikina hata kabla ya huyo dada? Je hayo uliyoota yangewahusisha wazazi wako bado ungeuliza maswali haya? Nikaingalia hata comments za walio wengi , ni kwamba mpo wengi msiojiweza kiakili kusema ule ukweli mwanangu. Uchawi unakuwa vichwani mwenu. Wala hakuna cha holy ghost ambaye siku hizi anaitwa mtakatifu wakati zamani aliitwa zimwi takatifuWakuu mmebarikiwà Sana na Mungu wa mbinguni hakuna laana.
Niliwahi kuishi na mdada mmoja wa kiha.
Kuna matukio mawili niliwahi kutana nayo wakati naishi naye. SIku moja usiku nzito Sana nikiwa nimelala na Yule Dada nikiona ndoto naona mle chumbani Kuna watu wanaingia huku mmoja akiwa amepanda mnyama mfano WA fisi nikianza kupambana nao nikafanikiwa kumshika Yule aliyekuwa juu ya Yule mnyama nikaaanza kumpiga Ile nanyanyua mkono kumpiga nikashangaa nimemshika Yule mdada niliyelala naye akaruka akashuka kitandani akakimbilia sebuleni.
TUkio la pili nikiwa na huyohuyo mdada usiku tukiwa tumelala nikaota Kuna MTU mwanamke amekaa kitandani ananiangalia Kwa macho makali huku ananicheka kicheko kikubwa nikaanza kupambana naye Ile najiinua nimkamate nikajikuta nataka kumkamata Yule mdada akashituka Sana.
Haya matukio yote skuwahi kumwambia mpaka naachana naye. Tukio la mwisho siku moja niliwahi kutoka kazini ye akawa amechelewa kurudi SA mi nikiwa NIPO juu ya kwenye kenchi nilikuwa narekebisha nyaya za umeme WA sola na nyumba ilikuwa haina gypsum kwahiyo chini huku NDANI Mtu akiingia unamuona vema kabisa nilimuona anaingia Kwa speed Sana kabla hajatua mizigo yake nikamuona amesimama NDANI kidogo karibu na mlango huku ameangalia nje akawa anatamka maneno ambayo sikuyaelewa huku anafanya ishara za kusonta nje Kwa kidole mi namchora.
Alipomalza mi nikakohoa kidogo ndipo akastuka nipo juu namuona aliona aibu Sana Sana hata kubadili nguo alishindwa kabisa. Mi skuhangaika Naye Sana kumuuliza nikaendelea na Mambo yangu akawa anaulza Kwa aibu eti kumbe ulikuwa huko juu mi nipo kimya Tu.
Je wakuu huyu Dada alikuwa mshirikina au alikuwa na tatzo gani?
Tulishaachana kitambo Sana na nilishaoa NIPO mkoa mwngn Naye mkoa mwngn sijui hata anaishije huko alipo kuna Mambo mengne nikiyasema humu mtashangaa mengne nishasimulia humu mbona fatilia threads zangu utagundua namuongelea mdada ndo huyohuyo SASA.Jibu linategemea na moyo wako upo upande gani mkuu.
Kama unampenda hatutii neno mkitengana utatuona sisi ndo wachawi.
Kwa hiyo ebu tuambie unampenda au ndo unamtafutia sababu ya kumtema tukusapoti shemela.
Sawa Kila la kheri Ila nakukumbusha usiombe yakukute ya kichawi jf humu Kila mtu ni msomi na mjuaji juaji so sishangai na uwenda hata na wachawi kibao wapo humu Wana tuzoom Tu.Wa
Wajinga na washirikina huamini kila jambo hata ndoto.Hivi ungeota unakuwa bilionea au rais ungesema unayosema kama siyo wewe kuwa mshirikina hata kabla ya huyo dada? Je hayo uliyoota yangewahusisha wazazi wako bado ungeuliza maswali haya? Nikaingalia hata comments za walio wengi , ni kwamba mpo wengi msiojiweza kiakili kusema ule ukweli mwanangu. Uchawi unakuwa vichwani mwenu. Wala hakuna cha holy ghost ambaye siku hizi anaitwa mtakatifu wakati zamani aliitwa zimwi takatifu
HuMU Kila mtu ni mjuaji sishangai hiki ulichoandika zaidi navuviwa kusema hizi ni KELELE za VUVUZELA hazizuii nyavu kutingishika.Mpk hapa tunapoongea " Amemmiss"
😅😅😅😅😅😅😅Mpk hapa tunapoongea " Amemmiss"
Saaaaaawa miii ni Vuvuzela sijabiiiiisha mimi.HuMU Kila mtu ni mjuaji sishangai hiki ulichoandika zaidi navuviwa kusema hizi ni KELELE za VUVUZELA hazizuii nyavu kutingishika.
Sjui HUyo mdada ana maisha gani huko alipo sina mawasiliano Yake na ni miaka imepita SASA nilishaoa sina muda Naye.
Kwako Extro , ubao unasoma ngapi ngapi kwa mwamba na my wiii wangu kigagu?😅😅😅😅😅😅😅
Saaawa hutaki kumsikia.Tulishaachana kitambo Sana na nilishaoa NIPO mkoa mwngn Naye mkoa mwngn sijui hata anaishije huko alipo kuna Mambo mengne nikiyasema humu mtashangaa mengne nishasimulia humu mbona fatilia threads zangu utagundua namuongelea mdada ndo huyohuyo SASA.
Sitaki hata kumsikia
Just move on.Tulishaachana kitambo Sana na nilishaoa NIPO mkoa mwngn Naye mkoa mwngn sijui hata anaishije huko alipo kuna Mambo mengne nikiyasema humu mtashangaa mengne nishasimulia humu mbona fatilia threads zangu utagundua namuongelea mdada ndo huyohuyo SASA.
Sitaki hata kumsikia