Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,155
- 34,303
Kabisa yaani...
Asituingize mkenge wenzie.aseme tu mapema Sisi ni waelewa!
Sisi ni wanae atupange mapema.
🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa yaani...
Asituingize mkenge wenzie.aseme tu mapema Sisi ni waelewa!
Chama la wana kabisa.Kabisa yaani.
Sisi ni wanae atupange mapema.
🤣
Wako wengi sana hao wadada na wamama,wanaamini ushirikina au ni wachawi kabisa...Wakuu mmebarikiwà Sana na Mungu wa mbinguni hakuna laana.
Niliwahi kuishi na mdada mmoja wa kiha.
Kuna matukio mawili niliwahi kutana nayo wakati naishi naye. SIku moja usiku nzito Sana nikiwa nimelala na Yule Dada nikiona ndoto naona mle chumbani Kuna watu wanaingia huku mmoja akiwa amepanda mnyama mfano WA fisi nikianza kupambana nao nikafanikiwa kumshika Yule aliyekuwa juu ya Yule mnyama nikaaanza kumpiga Ile nanyanyua mkono kumpiga nikashangaa nimemshika Yule mdada niliyelala naye akaruka akashuka kitandani akakimbilia sebuleni.
TUkio la pili nikiwa na huyohuyo mdada usiku tukiwa tumelala nikaota Kuna MTU mwanamke amekaa kitandani ananiangalia Kwa macho makali huku ananicheka kicheko kikubwa nikaanza kupambana naye Ile najiinua nimkamate nikajikuta nataka kumkamata Yule mdada akashituka Sana.
Haya matukio yote skuwahi kumwambia mpaka naachana naye. Tukio la mwisho siku moja niliwahi kutoka kazini ye akawa amechelewa kurudi SA mi nikiwa NIPO juu ya kwenye kenchi nilikuwa narekebisha nyaya za umeme WA sola na nyumba ilikuwa haina gypsum kwahiyo chini huku NDANI Mtu akiingia unamuona vema kabisa nilimuona anaingia Kwa speed Sana kabla hajatua mizigo yake nikamuona amesimama NDANI kidogo karibu na mlango huku ameangalia nje akawa anatamka maneno ambayo sikuyaelewa huku anafanya ishara za kusonta nje Kwa kidole mi namchora.
Alipomalza mi nikakohoa kidogo ndipo akastuka nipo juu namuona aliona aibu Sana Sana hata kubadili nguo alishindwa kabisa. Mi skuhangaika Naye Sana kumuuliza nikaendelea na Mambo yangu akawa anaulza Kwa aibu eti kumbe ulikuwa huko juu mi nipo kimya Tu.
Je wakuu huyu Dada alikuwa mshirikina au alikuwa na tatzo gani?
Huyo ni mchawi tena usingekua imara ungewangiwa maana mi kuna siku nilijikuta naanguka seburen saa nane ucku wakati nililala chumban weee nikasema wanikome nulufanya maombi kwa hasira sahiv hawathubutu kunichezeaWakuu mmebarikiwà Sana na Mungu wa mbinguni hakuna laana.
Niliwahi kuishi na mdada mmoja wa kiha.
Kuna matukio mawili niliwahi kutana nayo wakati naishi naye. SIku moja usiku nzito Sana nikiwa nimelala na Yule Dada nikiona ndoto naona mle chumbani Kuna watu wanaingia huku mmoja akiwa amepanda mnyama mfano WA fisi nikianza kupambana nao nikafanikiwa kumshika Yule aliyekuwa juu ya Yule mnyama nikaaanza kumpiga Ile nanyanyua mkono kumpiga nikashangaa nimemshika Yule mdada niliyelala naye akaruka akashuka kitandani akakimbilia sebuleni.
TUkio la pili nikiwa na huyohuyo mdada usiku tukiwa tumelala nikaota Kuna MTU mwanamke amekaa kitandani ananiangalia Kwa macho makali huku ananicheka kicheko kikubwa nikaanza kupambana naye Ile najiinua nimkamate nikajikuta nataka kumkamata Yule mdada akashituka Sana.
Haya matukio yote skuwahi kumwambia mpaka naachana naye. Tukio la mwisho siku moja niliwahi kutoka kazini ye akawa amechelewa kurudi SA mi nikiwa NIPO juu ya kwenye kenchi nilikuwa narekebisha nyaya za umeme WA sola na nyumba ilikuwa haina gypsum kwahiyo chini huku NDANI Mtu akiingia unamuona vema kabisa nilimuona anaingia Kwa speed Sana kabla hajatua mizigo yake nikamuona amesimama NDANI kidogo karibu na mlango huku ameangalia nje akawa anatamka maneno ambayo sikuyaelewa huku anafanya ishara za kusonta nje Kwa kidole mi namchora.
Alipomalza mi nikakohoa kidogo ndipo akastuka nipo juu namuona aliona aibu Sana Sana hata kubadili nguo alishindwa kabisa. Mi skuhangaika Naye Sana kumuuliza nikaendelea na Mambo yangu akawa anaulza Kwa aibu eti kumbe ulikuwa huko juu mi nipo kimya Tu.
Je wakuu huyu Dada alikuwa mshirikina au alikuwa na tatzo gani?
Mkuu utakuwa na magonjwa mtambuka ya kisaikolojia wahi Kwa Dr haraka Sana. Kuna mahali Mimi nimeconclude kwamba NI mshirikina au Mimi nimeweka kilichonitokea nipate maoni ya walimwengu. SA nashangaa umekuja Moto au ndiye mhusika mwenyewe SASA hamkuniweza nikiwa na mwenzenu na katu hamtaniweza kama Mungu Aishivyo.hizo sababu mbili za mwanzo ni za kipuuzi,uote mandoto yako yako ya kijinga uje umsingizie mtu mwingine kwa mawazo yako ya kishirikina.hiyo sababu ya tatu kidogo ina mantiki kama nje hakukua na mtu anawasiliana nae bas labda kidogo ana matatizo ya akili.sio lazima ku-conclude ishu za kishirikina kwa haraka namna hiyo.
Humu pangekuwA Pako salama ningetupia picha za kutosha tena juzi Tu nilikuwa kitaa napiga injili na Jamaa yangu hasa jioni nikitoka job tunabeba spika tunakwenda kufanya Kazi ya Mungu. So NIPO sawasawa na Mungu ingawa Awajua walio wake staki kujihesabia haki.Sitaki nijikite kwake, naomba kukuuliza wewe; umejikita kwa mambo ya Mungu au uchawi/uganda? Nje ya hayo mambo 2 usingekua salama kuishi na huyo dada, huenda ungekua umeisha KUFA au ungekua na tatizo fulani. Naomba jibu lako mkuu
Hongera sana, vinginevyo usingekua hai nakwambia, Kigoma ni mwisho wa lamiHumu pangekuwA Pako salama ningetupia picha za kutosha tena juzi Tu nilikuwa kitaa napiga injili na Jamaa yangu hasa jioni nikitoka job tunabeba spika tunakwenda kufanya Kazi ya Mungu. So NIPO sawasawa na Mungu ingawa Awajua walio wake staki kujihesabia haki.
Mchawi huyo
Hehehhehe hapo ni 100%Kwako Extro , ubao unasoma ngapi ngapi kwa mwamba na my wiii wangu kigagu?
Kweli kabisa.Asilimia 80 ya wachaw ni wanawake km hujui hilo kuna makin sn unapoanza mahusiano maana wrngine wanarisishwa na mama zao
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hehehhehe hapo ni 100%
ndio maana waafrika hatuendelei kwa mawazo haya ya kishirikina hata kwa mambo ya kawaida,tatizo swali lako mojamoja kwa moja umelielekeza kwenye ushirikina halafu unamtaja mungu kama kichaka cha kujifichiaMkuu utakuwa na magonjwa mtambuka ya kisaikolojia wahi Kwa Dr haraka Sana. Kuna mahali Mimi nimeconclude kwamba NI mshirikina au Mimi nimeweka kilichonitokea nipate maoni ya walimwengu. SA nashangaa umekuja Moto au ndiye mhusika mwenyewe SASA hamkuniweza nikiwa na mwenzenu na katu hamtaniweza kama Mungu Aishivyo.
We ulitaka swali nilielekezee wapi ili utilize shobo?ndio maana waafrika hatuendelei kwa mawazo haya ya kishirikina hata kwa mambo ya kawaida,tatizo swali lako mojamoja kwa moja umelielekeza kwenye ushirikina halafu unamtaja mungu kama kichaka cha kujifichia