Je, huyu mwanamke alikuwa mchawi?

Mkuu siku zote Mungu anasema na watu kupitia ndoto, hawezi kushuka kukwambia direct kuhusu jambo Fulani, so hapo alikuwa anakujuza namna hiyo Binti alivyo,so uamue wewe kuendelea nae au vipi.

Mara nyingi Mungu anatujuza kitu ,au kutuonya kupitia ndoto.

Nilishawahi kuwa na mpenzi, lakini nilikuwa naota ndoto nyingi ambazo siyo nzuri zinazomuhisu yeye ,na kiuhalisia vitu vinatokea kama nilivyoota.
 
Jibu linategemea na moyo wako upo upande gani mkuu.

Kama unampenda hatutii neno mkitengana utatuona sisi ndo wachawi.

Kwa hiyo ebu tuambie unampenda au ndo unamtafutia sababu ya kumtema tukusapoti shemela.
..
Asituingize mkenge wenzie.aseme tu mapema Sisi ni waelewa!
 
Wote wewe na yeye ni wachawi, Kama wewe una nguvu ya ziada, ambayo yaweza huwa ya Mungu au pia ya kishetani
Pengine sijaandika Tu ni kwamba nilikuwa nikistuka kumkata nilikuwa nasema Kwa Jina la YESU zote mara mbili SA kama HUyo YESU ni mchawi haya.
Siamini uganga Mimi wala sjawahi mloga mtu ni mlokole mzuri Tu otherwise amini unavyoamini kuhusu mimi
 
Wa
Wajinga na washirikina huamini kila jambo hata ndoto.Hivi ungeota unakuwa bilionea au rais ungesema unayosema kama siyo wewe kuwa mshirikina hata kabla ya huyo dada? Je hayo uliyoota yangewahusisha wazazi wako bado ungeuliza maswali haya? Nikaingalia hata comments za walio wengi , ni kwamba mpo wengi msiojiweza kiakili kusema ule ukweli mwanangu. Uchawi unakuwa vichwani mwenu. Wala hakuna cha holy ghost ambaye siku hizi anaitwa mtakatifu wakati zamani aliitwa zimwi takatifu
 
Jibu linategemea na moyo wako upo upande gani mkuu.

Kama unampenda hatutii neno mkitengana utatuona sisi ndo wachawi.

Kwa hiyo ebu tuambie unampenda au ndo unamtafutia sababu ya kumtema tukusapoti shemela.
Tulishaachana kitambo Sana na nilishaoa NIPO mkoa mwngn Naye mkoa mwngn sijui hata anaishije huko alipo kuna Mambo mengne nikiyasema humu mtashangaa mengne nishasimulia humu mbona fatilia threads zangu utagundua namuongelea mdada ndo huyohuyo SASA.
Sitaki hata kumsikia
 
Sawa Kila la kheri Ila nakukumbusha usiombe yakukute ya kichawi jf humu Kila mtu ni msomi na mjuaji juaji so sishangai na uwenda hata na wachawi kibao wapo humu Wana tuzoom Tu.
 
Mpk hapa tunapoongea " Amemmiss"
HuMU Kila mtu ni mjuaji sishangai hiki ulichoandika zaidi navuviwa kusema hizi ni KELELE za VUVUZELA hazizuii nyavu kutingishika.
Sjui HUyo mdada ana maisha gani huko alipo sina mawasiliano Yake na ni miaka imepita SASA nilishaoa sina muda Naye.
 
HuMU Kila mtu ni mjuaji sishangai hiki ulichoandika zaidi navuviwa kusema hizi ni KELELE za VUVUZELA hazizuii nyavu kutingishika.
Sjui HUyo mdada ana maisha gani huko alipo sina mawasiliano Yake na ni miaka imepita SASA nilishaoa sina muda Naye.
Saaaaaawa miii ni Vuvuzela sijabiiiiisha mimi.
Ila ndo umemmiss kichiiiiz yan
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Niwape heko sana wote wa kiume, mna mioyo mizuri pia hambadiliki badiliki.

Angekuwa ni mwanamke hapo sijui ingekuwaje, Mungu ndo anajua.
 
Saaawa hutaki kumsikia.
Ila unataka kumuongelea.
Haina shida sisi tutakuwa tunasubiri umuongelee ili hiyo kumsikia tumsikie sisi.

We mambo ya kumsikia tuachie sisi.
We muongelee tu.
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Just move on.

Stop focusing on the past.

Haikusaidii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…