Je, huyu mwanamke alikuwa mchawi?

Hizo sababu mbili za mwanzo ni za kipuuzi,uote mandoto yako yako ya kijinga uje umsingizie mtu mwingine kwa mawazo yako ya kishirikina.hiyo sababu ya tatu kidogo ina mantiki kama nje hakukua na mtu anawasiliana nae bas labda kidogo ana matatizo ya akili.sio lazima ku-conclude ishu za kishirikina kwa haraka namna hiyo
 
Wako wengi sana hao wadada na wamama,wanaamini ushirikina au ni wachawi kabisa...
 
Usiogope kurogwa
Siushawahi mwambia kwako nimekufa nimeoza basi ndo anataka athibitishe kama kweli
 
Huyo ni mchawi tena usingekua imara ungewangiwa maana mi kuna siku nilijikuta naanguka seburen saa nane ucku wakati nililala chumban weee nikasema wanikome nulufanya maombi kwa hasira sahiv hawathubutu kunichezea
 
Mkuu utakuwa na magonjwa mtambuka ya kisaikolojia wahi Kwa Dr haraka Sana. Kuna mahali Mimi nimeconclude kwamba NI mshirikina au Mimi nimeweka kilichonitokea nipate maoni ya walimwengu. SA nashangaa umekuja Moto au ndiye mhusika mwenyewe SASA hamkuniweza nikiwa na mwenzenu na katu hamtaniweza kama Mungu Aishivyo.
 
Sitaki nijikite kwake, naomba kukuuliza wewe; umejikita kwa mambo ya Mungu au uchawi/uganda? Nje ya hayo mambo 2 usingekua salama kuishi na huyo dada, huenda ungekua umeisha KUFA au ungekua na tatizo fulani. Naomba jibu lako mkuu
 
Sitaki nijikite kwake, naomba kukuuliza wewe; umejikita kwa mambo ya Mungu au uchawi/uganda? Nje ya hayo mambo 2 usingekua salama kuishi na huyo dada, huenda ungekua umeisha KUFA au ungekua na tatizo fulani. Naomba jibu lako mkuu
Humu pangekuwA Pako salama ningetupia picha za kutosha tena juzi Tu nilikuwa kitaa napiga injili na Jamaa yangu hasa jioni nikitoka job tunabeba spika tunakwenda kufanya Kazi ya Mungu. So NIPO sawasawa na Mungu ingawa Awajua walio wake staki kujihesabia haki.
 
Hongera sana, vinginevyo usingekua hai nakwambia, Kigoma ni mwisho wa lami
 
ndio maana waafrika hatuendelei kwa mawazo haya ya kishirikina hata kwa mambo ya kawaida,tatizo swali lako mojamoja kwa moja umelielekeza kwenye ushirikina halafu unamtaja mungu kama kichaka cha kujifichia
 
ndio maana waafrika hatuendelei kwa mawazo haya ya kishirikina hata kwa mambo ya kawaida,tatizo swali lako mojamoja kwa moja umelielekeza kwenye ushirikina halafu unamtaja mungu kama kichaka cha kujifichia
We ulitaka swali nilielekezee wapi ili utilize shobo?
Mi nimesema yaliyonitokea kisha nikamulza je Kwa hayo yalonitokea nikiwa na huyo mdada je ni uchawi au alikuwa mshirikina we unaleta upuuzi wako kwamba NI hisia zangu Tu. As if mi nimesema alikuwa mchawi jitahidi umuone mtaalamu WA SAIKOLOJIA Una magonjwa ya namna hiyo.

Kujifcha kwenye kichaka Kwa kumtumia Mungu ulitaka nisiseme kwamba wakati napambana na Hali hiyo ni Mungu alinisaidia ulitaka niseme mganga ndo ufanye sherehe hapo kwako kwamba waganga mnasaidia Sana watu na si Mungu Ila Mtu akimtaja Mungu ni anamsingzia Tu ETI eeeh?
 
Reactions: Cyb
Muliachana vipi mkuu na huyo Dada mwanga toka Nguruka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…