Je, huyu ndiye muwakilishi wa wachungaji wachoyo zaidi?

Je, huyu ndiye muwakilishi wa wachungaji wachoyo zaidi?

Vita dhidiyaujinga

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2026
Posts
279
Reaction score
385
Ndugu zangu miongoni mwa mambo yanayofanXya Imani ionekane uhuni ni pamoja na hili la wachungaji kuisujudia pesa.


Musikilize mwenyekiti wa CPCT (The Council of Pentecostal Churches of Tanzania) Yaani mwenyekiti wa umoja wa makanisa ya kilokolo (wokovu) anavyowakilisha asilimia kumbwa ya wenzake 95%+ kuhusiana na uchoyo wa sadaka bila kujali utu wa watu.Tuweni makini safari ya Imani inatiwa ugumu.Ebu SIKILIZA👇
 
Back
Top Bottom