Ndugu zangu miongoni mwa mambo yanayofanXya Imani ionekane uhuni ni pamoja na hili la wachungaji kuisujudia pesa.
Your browser is not able to display this video.
Musikilize mwenyekiti wa CPCT (The Council of Pentecostal Churches of Tanzania) Yaani mwenyekiti wa umoja wa makanisa ya kilokolo (wokovu) anavyowakilisha asilimia kumbwa ya wenzake 95%+ kuhusiana na uchoyo wa sadaka bila kujali utu wa watu.Tuweni makini safari ya Imani inatiwa ugumu.Ebu SIKILIZAš