Tetesi: Je, huyu ndiye Mwenyekiti mpya wa CHADEMA ajaye?

Tetesi: Je, huyu ndiye Mwenyekiti mpya wa CHADEMA ajaye?

Chadema ni chama kikuu cha upinzani Tanganyika! Kumpatia mtu uwenyekiti, ambaye akiona mabomu yamerindima mtaani an anakimbilia airport ni hatari na nusu
 
Huyu mtu wenu alivyo muumini wa confrontation politics anaenda kuiua Chadema.
Mkuu siasa ya Chadema imekuwa ni confrontational all along chini ya Mbowe, iweje iuwe chama hicho hicho chini kiongozi tofauti na Mbowe???

Au ulitaka kumaanisha nini Mkuu???
 
TL aliwahi kuwa Rais wa TLS!
Tuambieni kipindi hicho aliweza kufanya nini kuisaidia TLS,Leo anaomba kuwa mwenyekiti wa chama kikuu Cha upinzani?
 
TL anafanana na kipepe!
Tena ni mtu asiye na shukrani ila ana uchu wa madaraka
 
Write your reply...lisu kuwa mwenyeliti ni sawa lakini tujiandae kisailolojia. Kwani naona akifanya analo taka yeye pasipo ushauri wa yeyote. Na tena anapenda ukuu tu na wala siyo kwa maslai ya chama.

..Lissu angekuwa sio team player asingedumu ndani ya Chadema kwa miaka zaidi ya 20.
 
Sasa achaguliwe kwa siasa anayo iuza sasa, halafu aongoze kwa kufuata tabia nyingine? Huoni kuwa atakuwa ni mdanganyifu?
Na hao watakao mchagua, una hakika watampenda huyo mwenye "aina ya siasa" tofauti na ile waliyo iona wakati wakimpa uongozi?
Nafkri hujanielewa, wewe una uhakika Gani watamchagua kutokana na siasa afanyazo, na si sababu nyingine labda kuchoka uongozi Mmoja wa muda mrefu?
 
Yule dingi DJ si nilisikia ni mlevi wa kutupwa kwa pesa ya ruzuku, mara wakadai kapigwa na mchepuko Joy huko Dom kwenye ulevi akaanguka na kudai ni majambawazi!!

Kile Chama ni saccoss yake binafsi, huyo mnyampaa mwenye magongo toka bush hatoboi kwa mtoto wa mjini, anajisumbua tu bure au labda ni dili lao na DJ form four failure ili yule dingi abaki kiongozi milele!

Unaweza kumleta mjini mwanakijiji toka Singapore ila huwezi kutoa kijiji kwenye akili ya mwanakijiji huyo.
 
TL aliwahi kuwa Rais wa TLS!
Tuambieni kipindi hicho aliweza kufanya nini kuisaidia TLS,Leo anaomba kuwa mwenyekiti wa chama kikuu Cha upinzani?
Siku chache baada ya kuchaguliwa alitandikwa risasa na wasio julikana. So almost kipindi chote alikuwa akipambania uhai, hakukaa madarakani sana
 
Yule dingi DJ si nilisikia ni mlevi wa kutupwa kwa pesa ya ruzuku, mara wakadai kapigwa na mchepuko Joy huko Dom kwenye ulevi akaanguka na kudai ni majambawazi!!

Kile Chama ni saccoss yake binafsi, huyo mnyampaa mwenye magongo toka bush hatoboi kwa mtoto wa mjini, anajisumbua tu bure au labda ni dili lao na DJ form four failure ili yule dingi abaki kiongozi milele!

Unaweza kumleta mjini mwanakijiji toka Singapore ila huwezi kutoa kijiji kwenye akili ya mwanakijiji huyo.
Anakula starehe balaa yule jamaa,
 
Swali, Je, huenda Freeman Mbowe akajitoa ili kulinda heshima kidogo aliyonayo au yuko tayari kubeba aibu kwa gharama ya chawa wake||

Taarifa za chinichini ni kwamba,

Mtia nia wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa Bwana Tundu Lissu ameshamaliza Uchaguzi tayari kinachosubiriwa kwa sasa ni wanachama ambao ni wajumbe wa mkutano mkuu kupiga kura,

Watu wake wa karibu wanasema mtiania wao huyo huenda akashinda Uchaguzi huo kwa zaidi ya asilimia 70 ya kura zote zitakazopigwa kwani wanachama wa CHADEMA hasa wale walioduni sana kimaisha na kielimu wanaonesha kumuhitaji zaidi Lissu kwa sasa kuliko Mbowe kwa sababu wanazozijua wao wenyewe.

Lissu anayeungwa mkono kwa karibu na team nzima ya BAWACHA, BAVICHA , BAZECHA pamoja na idadi kubwa ya wajumbe wote wa mkutano mkuu Kuna kila dalili atashinda kwa kishindo.

Pitia hapa pia KURA: Je, ni nani kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu anayefaa zaidi kuiongoza CHADEMA kwa Sasa?

Hata hivyo, Lissu anaonekana kupata nguvu zaidi karibu kila siku tangu atangaze nia yake hiyo ya kutaka kumrithi Freeman Mbowe aliyehudumu kwa zaidi ya miaka 20 madarakani ambaye mpaka Sasa bado hajasema kama atagombea au laa.

Mbowe anayeonekana kupoteza kabisa malengo ya kuanzishwa kwa CHADEMA na kijiegemeza kwenye kutafuta zaidi kukubalika kwake na Dola pamoja na kwa Viongozi wa CCM akiwemo Mwenyekiti wa Taifa wa CCM kuliko Wafuasi wa CHADEMA jambo hili linawakasirisha sana wanachama wa CHADEMA walio wengi kiasi Cha kutamani kubadili Mwenyekiti.

"Mbowe anakabiliwa na anguko Kali la imani toka kwa wapenzi na Wanachama wa CHADEMA ndio maana Lissu ata asipofanga kampeni sisi tutamchagua lazima" imeelezwa hivyo na kamanda mmoja toka Kilimanjaro jina tunalihifadhi,

Mbowe anakabiliwa na kosa la ukosefu wa Uaminifu kwa wanachama na Wafuasi wa CHADEMA hasa baada ya kuonekana akiwa na ukaribu zaidi na Mwenyekiti wa Chama tawala kiasi Cha kupatiwa mamilioni ili apeleke kwenye makanisa pamoja na matumizi binafsi ikiwemo kwa Askofu Dkt Shoo alikopeleka zaidi ya Mil 150 za ununuzi wa gari pesa toka kwa Rais Samia.

View attachment 3177680

Je, huyu ndiye Mwenyekiti mpya wa CHADEMA ajae?​

Lissu atamshinda Mbowe
 
Back
Top Bottom