Tetesi: Je, huyu ndiye Mwenyekiti mpya wa CHADEMA ajaye?

Chadema ni chama kikuu cha upinzani Tanganyika! Kumpatia mtu uwenyekiti, ambaye akiona mabomu yamerindima mtaani an anakimbilia airport ni hatari na nusu
 
Huyu mtu wenu alivyo muumini wa confrontation politics anaenda kuiua Chadema.
Mkuu siasa ya Chadema imekuwa ni confrontational all along chini ya Mbowe, iweje iuwe chama hicho hicho chini kiongozi tofauti na Mbowe???

Au ulitaka kumaanisha nini Mkuu???
 
TL aliwahi kuwa Rais wa TLS!
Tuambieni kipindi hicho aliweza kufanya nini kuisaidia TLS,Leo anaomba kuwa mwenyekiti wa chama kikuu Cha upinzani?
 
TL anafanana na kipepe!
Tena ni mtu asiye na shukrani ila ana uchu wa madaraka
 
Write your reply...lisu kuwa mwenyeliti ni sawa lakini tujiandae kisailolojia. Kwani naona akifanya analo taka yeye pasipo ushauri wa yeyote. Na tena anapenda ukuu tu na wala siyo kwa maslai ya chama.

..Lissu angekuwa sio team player asingedumu ndani ya Chadema kwa miaka zaidi ya 20.
 
Sasa achaguliwe kwa siasa anayo iuza sasa, halafu aongoze kwa kufuata tabia nyingine? Huoni kuwa atakuwa ni mdanganyifu?
Na hao watakao mchagua, una hakika watampenda huyo mwenye "aina ya siasa" tofauti na ile waliyo iona wakati wakimpa uongozi?
Nafkri hujanielewa, wewe una uhakika Gani watamchagua kutokana na siasa afanyazo, na si sababu nyingine labda kuchoka uongozi Mmoja wa muda mrefu?
 
Yule dingi DJ si nilisikia ni mlevi wa kutupwa kwa pesa ya ruzuku, mara wakadai kapigwa na mchepuko Joy huko Dom kwenye ulevi akaanguka na kudai ni majambawazi!!

Kile Chama ni saccoss yake binafsi, huyo mnyampaa mwenye magongo toka bush hatoboi kwa mtoto wa mjini, anajisumbua tu bure au labda ni dili lao na DJ form four failure ili yule dingi abaki kiongozi milele!

Unaweza kumleta mjini mwanakijiji toka Singapore ila huwezi kutoa kijiji kwenye akili ya mwanakijiji huyo.
 
TL aliwahi kuwa Rais wa TLS!
Tuambieni kipindi hicho aliweza kufanya nini kuisaidia TLS,Leo anaomba kuwa mwenyekiti wa chama kikuu Cha upinzani?
Siku chache baada ya kuchaguliwa alitandikwa risasa na wasio julikana. So almost kipindi chote alikuwa akipambania uhai, hakukaa madarakani sana
 
Anakula starehe balaa yule jamaa,
 
Lissu atamshinda Mbowe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…