Tetesi: Je, huyu ndiye Mwenyekiti mpya wa CHADEMA ajaye?

Kama kusema ukweli tu kunatosha basi kina Kiiza Besigye wangeshakuwa Marais, mimi nasema bado hujaelewa nilichomaanisha mkuu...
Duh!

Sasa unanipimia uwezo wangu wa kuelewa?

Bila ya kutaka mjadala mrefu na wewe ngoja nikwambie upunfu mkubwa ulio nao mwenyewe.
Unatumia mfano wa Besigye, ukifikiri mimi sijui ya Besigye na rafiki yake M7; na wala huelezi chochote kwa nini unatumia mfano huo katika jambo linalo jadiliwa hapa. Hiyo ni ishara muhimu sana kuonyesha ngazi yako ya uelewa wa mambo yanayo jadiliwa.

Nakuachia hapa.
 
Mbowe mitano tena
 
Itakuwa safi sana. Hapa sasa next ni ccm kukosa usingizi
 
Mbowe
 
Lissu atashinda tu
 
Ni yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…