Je huyu ni kiongozi gani wa ngazi ya juu ktk serikali ya Tanzania?

Je huyu ni kiongozi gani wa ngazi ya juu ktk serikali ya Tanzania?

Mchukia fisadi, ni kweli mipasho ni sehemu ya utamaduni wetu lakini hamuna uthibitisho wa hayo munayosema. Na wewe mbona umerukia na mipasho ni katika hao wenye A za kununua nini?

Kama anavyo vyeti feki basi mtu atoe uthibitisho na sio kujenga hoja zisizo na msingi hapa.
 
Sasa hayo majungu ya nini? Hata na nyinyi mukiwa na wake zenu mukija kugombea ubunge au uraisi basi mutawaambia wawasaidie. Na hivyo vyeti vyake vimewahusu nini? Wewe vyako una hakika navyo? Inawezekana ulinunua mtihani ukapata A za dezo!

siyo majungu bi mkubwa, huyu maza ngumbaru sana, sjui anawadanganya nini wanakijiji! pesa zao za mradi wa maji anatia mafuta na posho!! kudadadaki na machungu sana na bongo! (samahani kama anakuhusu, au ndy wewe mwenyewe maza hausi?SHKAMO)
 
Mchukia fisadi, ni kweli mipasho ni sehemu ya utamaduni wetu lakini hamuna uthibitisho wa hayo munayosema. Na wewe mbona umerukia na mipasho ni katika hao wenye A za kununua nini?

Kama anavyo vyeti feki basi mtu atoe uthibitisho na sio kujenga hoja zisizo na msingi hapa.
Nikupe namba zangu uangalie kama nimepata A za kununua au la. Nimemaliza form 7 mwaka huu. Usidhani mimi ni wa mchezo unasikia wewe? Hapa sio kwenye taarabu.
 
huyo ni ticha aliyeungaunga vyeti, ka resit mara kibao form four, ana s moja form six, sasa kapata qualification ya kulala na mzee wa mipasho, basi anawatumbuiza wadanganyika wanaopenda mipasho na kurushana roho

Duh...Jioni njema, Halafu basi kuna miili ya kusimama kwenye Roof za magari, Hebu tazama utadhani mtu atoka kwenye shimo la choo. Hii nchi ina maudhi sana.

<input id="gwProxy" type="hidden"><!--Session data--><input onclick="jsCall();" id="jsProxy" type="hidden">
 
Back
Top Bottom