Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hayo majungu ya nini? Hata na nyinyi mukiwa na wake zenu mukija kugombea ubunge au uraisi basi mutawaambia wawasaidie. Na hivyo vyeti vyake vimewahusu nini? Wewe vyako una hakika navyo? Inawezekana ulinunua mtihani ukapata A za dezo!
Nikupe namba zangu uangalie kama nimepata A za kununua au la. Nimemaliza form 7 mwaka huu. Usidhani mimi ni wa mchezo unasikia wewe? Hapa sio kwenye taarabu.Mchukia fisadi, ni kweli mipasho ni sehemu ya utamaduni wetu lakini hamuna uthibitisho wa hayo munayosema. Na wewe mbona umerukia na mipasho ni katika hao wenye A za kununua nini?
Kama anavyo vyeti feki basi mtu atoe uthibitisho na sio kujenga hoja zisizo na msingi hapa.
huyo ni ticha aliyeungaunga vyeti, ka resit mara kibao form four, ana s moja form six, sasa kapata qualification ya kulala na mzee wa mipasho, basi anawatumbuiza wadanganyika wanaopenda mipasho na kurushana roho
Astaghafirulah!!sasa kama watu wanaweza kujitokeza kumsikiliza huyu square root, itakuwaje kwa aliyemtuma??
Hapa ndo napatwa na wasiwasi sana kuhusu watz wenzangu hasa wa vijijini.