Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Nchi ambayo ni rahisi kuongoza ni kwetu Tanzania nduguBongo bhana mtu anaweza kukamatwa hivyo na ukasikia kauawa yaani mkono mmoja ashike bunduki mmoja mimi daah Mungu atusamehe tu haji kuja kurudia tena huo ujinga akifanya kwa watu waliojinyongorota.
Huyu ni mmojawapoAskari huyu anapatikana mkoani Geita maeneo ya Katoro.
Askari huyu ana rasta, kimuonekano tu anatumia vitu vikali.
Juzi wamemnyakua huyo mwenyekiti wa wachimbajji wadogo wadogo hapo Geita.
Huyu na wenzake wakija kukuchukua usiku wanakupoteza bila shida yoyote kwa muonekano tu na roho yake ilivyo.
Bila shaka anaweza kuwa ni mmoja ya wale wanaoitwa “Wasiojulikana”
View attachment 3537829View attachment 3537830View attachment 3537831
Ukiona hivyo ujue nyuma kuna mwekezaji anapambana nayeHUYO MWENYEKITI ANA KOSA GANI????????