Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Hafanyi mwenyewe. Shida ni chama na wanasiasa waliomo kutanguliza interest zao before nchi.Yeye kama rais anaweza kusimamia na likawezekana.
Kukopa ndio akili ya kitajiri. Pesa yako mwenyewe unatumia katika mipango mingine.Kukopa ni akili ya kimasikini sana.
Unakopaje sasa wakati raslimali tele.
Long term plan ipi?Mama anatakiwa atengeneze long term plan na leadership ambayo haitategemea aina ya rais. Yaani aangalie ni namna gani rasilimali tulizonazo zinaweza ku finance maendeleo yetu. Yeye badala yake anaendq kukopa mikopo ya ujenzi wa madarasa???? Yaani unaenda kukopa hela za kuwekea rehani resources zetu??? Nadhani ile timu ya wachumi angeitumiq ila kwa sasa anapuyanga tu Mama. Mungu atusaidie maana huko mbeleni watoto wetu watatushangaa sana maana watakuta kila rasilimali ya nchi tumekikopea
na hizo rasilimali tele unamuuzia nani au zinakufaidisha vipi kama utakua hauna mahusiano mazuri na watumiaji/watu unaotegemea kufaidika kutoka kwao......Kukopa ni akili ya kimasikini sana.
Unakopaje sasa wakati raslimali tele.
Asiposafiri atapataje mikopo yenye masharti nafuu?
Nchi gani iliyoendelea kwa mikopo au kutwa kiguu na njia.na hizo rasilimali tele unamuuzia nani au zinakufaidisha vipi kama utakua hauna mahusiano mazuri na watumiaji/watu unaotegemea kufaidika kutoka kwao......
Kukopa Ili ujenge madarasa hio pesa inarudije pili tangu UHURU ni mabingwa wa kukopa lakini tija ni sifuriKukopa ndio akili ya kitajiri. Pesa yako mwenyewe unatumia katika mipango mingine. Pesa ya mkopo unatumia kwenye mipango ya mkakati na ya muda mrefu. Matajiri wengi wanakopa na kutajirika vile vile maskini hawakopi - na wanabaki maskini .
na nchi gani iloendelea kwa viongozi kukaa nyumbani tu....ifikie hatua tuache kulalamika sana...sababu nchi zilizoendelea kuna watu walisafiri sana karne za nyuma huko ili kuzisaidia kufikia hapo zilipo....Nchi gani iliyoendelea kwa mikopo au kutwa kiguu na njia.
matumizi mabaya ya kodi zenu.Awamu ya nne tulishudia Jakaya Kikwete akifanya ziara za nje huku akisahau kabisa masuala ya ndani ya nchi yake mpaka akapachikwa jina Vasco Da Gama.
Awamu hii nayo naona ni mwendo uleule. Juzi alikuwa Ulaya. Leo yupo Uarabuni.
Hii ishu ya Uarabuni asingeweza kuwakilishwa hata na balozi!
View attachment 2132065
View attachment 2131649View attachment 2131650
Acha kumtukana marehemu,subiri tuone jinsi nchi inavyofeli na hii mipango yenu na kujaza wezi serikalini kushindwa kuko wazi bila chenga.Yule jiwe a.k a mzimu wa sukuma gang ndiyo amesababisha yote haya. Aliua biashara zote kubwa na ndogo kwa kupora fedha za watu. Vyanzo vyote vya Kodi vikafa. Akawa anakopa hovyo tena kwa siri kubwa mikopo ya kibiashara ambayo riba zake ni kubwa.
Mama hana namna lazima asafiri ili apate mikopo, maana nchi imeachiwa matatizo na madeni makubwa na jiwe.
Asante mama endelea kuinusuru nchi.
Koma wee! Musoma vijini ni full maji, mvua za kutosha, ziwa mwanana, plus samaki, sato full lami kutoka makojo, Mwanza , Mugango rusorya, Bwai kwitururu, bisarye mpaka Mwanza!!Maji mfano kule Musoma vijijini bado yalikua yanatoka kwa shida
Mbona jpm mkapa Mwinyi awakusafiri na walifanya waliyoyafanyana nchi gani iloendelea kwa viongozi kukaa nyumbani tu....ifikie hatua tuache kulalamika sana...sababu nchi zilizoendelea kuna watu walisafiri sana karne za nyuma huko ili kuzisaidia kufikia hapo zilipo....
Bukililo mwogope Mungu,JPM alikopa wapi na kiasi gani?sawa mama Ana sahani mkononi lkn kuteuliwa ni majaliwa.JPM ndiye rais aliyekopa kuliko marais wote tangu uhuru. Yote hayo uliyoyaandika aliyafahamu vyema.
Sawa babaSawa mama.
Wakati mkapa anakuwa raisi ulikuwa na umri gani, uliishi wali ukisoma wapi na level gani? Soma makala kwenye gazeti la rai " Bora mkapa wa glassgow"Mbona jpm mkapa Mwinyi awakusafiri na walifanya waliyoyafanya
Kuna wakati hata zoezi la kuchangia damu lilitegemea ufadhiri kutoka NGO za nje, Enzi za Dr Mwinyi...Mama anatakiwa atengeneze long term plan na leadership ambayo haitategemea aina ya rais. Yaani aangalie ni namna gani rasilimali tulizonazo zinaweza ku finance maendeleo yetu. Yeye badala yake anaendq kukopa mikopo ya ujenzi wa madarasa???? Yaani unaenda kukopa hela za kuwekea rehani resources zetu??? Nadhani ile timu ya wachumi angeitumiq ila kwa sasa anapuyanga tu Mama. Mungu atusaidie maana huko mbeleni watoto wetu watatushangaa sana maana watakuta kila rasilimali ya nchi tumekikopea
Ungetaja yote unayotaka uyapate toka kwangu.nitakupatia.Sawa