Je, Hypersexualism ni jambo la kawaida kwa teenagers wa siku hizi?

Umeshauriwa sana, nimechelewa ila nakazia, kama una msichana unakaa nae, MTOMBE. Usirudie tena kusema hapa, eti mara kumi, baba zetu tu, wanakaza kisawa sawa. Maara kumi si in a week umemaliza. Yaani ulitakiwq kusema wewe kukaza mara kumi kwa week hufiki ila wenzako wanaweza. Na hii ni kwa mtu mwenye mademu wawili na kuendelea.

Kwa mwaka unatakiwa ukaze zaidi ya mara 100
Mara 100
gta-san-andreas-gta.gif
 
1) Vijana wanaangalia Picha za Ngono sana

2) Ngono imekuwa rahisi kuipata, maana kuna Machangu wanauza mpka 3000 Mbususu

3) Hofu ya MUNGU haipo kwenye Dunia ya sasa

4) Watu wanaona sifa kufanya mapenzi (Kusifiwa na watu).

6) Wanawake wanatumia ngono kama chanzo cha mapato

HIZO NDIO SABABU KUBWA ZA WATU KUFANYA UZINZI SANA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Jobtruetrue 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Umeshauriwa sana, nimechelewa ila nakazia, kama una msichana unakaa nae, MTOMBE. Usirudie tena kusema hapa, eti mara kumi, baba zetu tu, wanakaza kisawa sawa. Maara kumi si in a week umemaliza. Yaani ulitakiwq kusema wewe kukaza mara kumi kwa week hufiki ila wenzako wanaweza. Na hii ni kwa mtu mwenye mademu wawili na kuendelea.

Kwa mwaka unatakiwa ukaze zaidi ya mara 100
Nimekuelewa mzee
 
Kwa huo umri ni kawaida kama huna tatizo lolote. Nakumbuka wakati wa balehe ishu ilikuwa inasimama hadi inauma. Nilikuwa nikikaa kwenye kiti hata dakika 20 bila kufanya chochote nikisimama tayari nakuta imesimama. Namshukuru Mungu nilipita salama. Nikiwa na miaka hiyo nadhani nilichakata mbususu zaidi ya 200 ambapo zaidi ya 50% walikuwa ni majimama yaliyonizidi umri kwa mbali sana. Nilikuja kuachana na hayo mambo ya hovyo nikiwa na 29yrs. Sikuacha mazima ila nilianza kuwa na mambo ya mpenzi mmoja sio kuchakata hovyo. CHA MUHIMU VIJANA WAHIMIZWE MATUMIZI YA CONDOM KWA SABABU HAWAZUILIKI. Mimi nilikuwa sikosi condom kadhaa kwenye begi hasa nikisafiri.
 
Sawa👍
 
Kjn una umri gani? Umekula wanawake 200 ulikuwa unashindana na nani?
 
Kwa sababu wengi tunajua mtu akishabalehe na akiwa hana tatizo lolote ni ngumu sana kukaa muda mrefu hivyo bila kufanya mapenzi,hata kama kuna sheria kali zinakubana mahali ulipo,lakini pia kuna nguvu kubwa ya kiungo hicho yaani uume itakuwa ina kusukuma uitafutie chakula chake maana ndio ilivyoumbwa lazima apate ile kitu inayommeza mwenzie.Shida kubwa manii zitoke tu kwa muda ule, ndio pale wengi wasiofanya mapenzi wanapiga punyeto kuzitoa na hapo mtu atajiskia mwepesiiiiii...na kuna watu wengine wamezuiwa hata kufanya tendo hilo na imani za dini zao lakini mwisho wa siku wanashindwa kuidhibiti hamu iyo wanadumbukia kwenye kufanya ngono.ila haya ni mawazo yangu tu na sina utaalam wowote juu ya masuala ya mifumo hiyo ya uzazi na kuzalisha hizo hamu kwahiyo huenda ikawa ni kweli ukijizoesha ndio unakuwa na genye kali huwezi kuvumilia mpaka ufanye ama huenda pia binadam tuko tofauti kwenye kuweza kuzimudu kuzidhibiti hamu hizo huenda kuna wengine wanakuwa wanaweza kama wewe wala hupati shida.akipatikana mtaalam wa masuala hayo nafikiri ndio atatupa jibu zuri zaidi maana sisi wengine ni walewale tu ukikaa siku tatu mpaka nne lazima uteseke uamue ukatafute au ujimalizie mwenyewe,na hapo kwenye kujimalizia mwenyewe kwa mkono kwa watu wa kundi hilo utakuwa umejichochea moto maana asubuhi utaamka na zaid ya jana.
Kwahiyo endelea kusoma comment bro tujifunze zaidi kwa watu wengine.
Andika kwa kituo , umeniangaisha mno kwenye usomaji.
 
nakubaliana na wadau wanaosema "interval ya kufanya ngono inatokana na mwili ulivyouzoesha"

no fap challange imenifanya niamini hili.
pia nimejifunza, ukiachilia mbali kupiga punyeto na kufanya ngono, mwili unaweza kutoa sperms automatically kwa njia nyingine kama ndoto nyevu au wakati wakukojoa unawezashangaa mwishoni sperm zinatoka tu zenyewe.

kwaiohiyo sioni ajabu wala tatizo mtu akikaa mwaka mzima au zaidi hajafanya ngono au kupiga punyeto.
 
Kufanya ngono hovyo sio sifa. Hutakuja kupata tuzo/pesa/zawadi ya aina yoyote ya kufanya hivyo zaidi ni kujiongezea changamoto. Kama unaweza basi kaa kwa utulivu tunza nguvu zako
 
Back
Top Bottom