Wewe ndiyo una shida. Sex mara 10 kwa mwaka? Wenzako mara 10 ni kwa wiki.Sasa ninachilojiuliza mm hapa ni kwamba, Je, mm ndo nina shida au vijana wa sikuiz ni hypersexual??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndiyo una shida. Sex mara 10 kwa mwaka? Wenzako mara 10 ni kwa wiki.Sasa ninachilojiuliza mm hapa ni kwamba, Je, mm ndo nina shida au vijana wa sikuiz ni hypersexual??
Sawa kabisaKufanya ngono hovyo sio sifa. Hutakuja kupata tuzo/pesa/zawadi ya aina yoyote ya kufanya hivyo zaidi ni kujiongezea changamoto. Kama unaweza basi kaa kwa utulivu tunza nguvu zako
yeap 10 kwa wikiKwa wiki mara kumi!!!
Mmmh sawa.Ni wewe ndio unatatizo, haiwezikani kwa mwaka mara 10, hiyo mara 10 mm napiaga ndani ya siku 15. Nikiwa free na kukawa na ubusy basi walau nitapiga kwa mwezi.
Na katikatikatikati hapo huwa napiga puu japo mara moja au mbili kuweka mwili sawa, Situkia kilevi chochote, sipaki dawa wala kunywa dawa yeyote na pia sivuti sigara,
Sili junk foods wala nyama nyekundu, sana hula mbogamboga na vyakula vya baharini, Soup na kahawa hapa ndio kwao.
Anyway kwa hali hiyo ukija kuoa na Mungu akajaaliwa ndoa ikawa na mtoto/Watoto usije acha kupima DNA bila hivyo utakuja lea damu za wagoni wako.
Ahsante brother, maneno fikirishi sana.Una baati Sana,
Jikite tu kwenye ibada na mambo ya Imani ,
Yaelekeze maisha yako Kwa Mungu mazima,
Maana huo ndio mtiani watu wengi ,wanashindwa, kuzuia mihemuko ya mwili ,wengi wanashindwa ndio maana wanaangukia kwenye uzinzi na Uasherati,
Wengi watakuonea donge,na kujifanya wao ndio wazima wewe mgonjwa ,kumbe wao ndio wagonjwa na wewe inapelekea njia ya Uzima ,
KUMBUKA kauli hii,
Mwili ni kama vazi,
Kuna vazi zuri na baya,
Baya ni Lile lililoshindwa kutii Amri za Mungu ,
Na zuri ni Lile ambalo Amri za Mungu unatii .