Je, Hypersexualism ni jambo la kawaida kwa teenagers wa siku hizi?

Mara 100
 
Jobtruetrue 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nimekuelewa mzee
 
Kwa huo umri ni kawaida kama huna tatizo lolote. Nakumbuka wakati wa balehe ishu ilikuwa inasimama hadi inauma. Nilikuwa nikikaa kwenye kiti hata dakika 20 bila kufanya chochote nikisimama tayari nakuta imesimama. Namshukuru Mungu nilipita salama. Nikiwa na miaka hiyo nadhani nilichakata mbususu zaidi ya 200 ambapo zaidi ya 50% walikuwa ni majimama yaliyonizidi umri kwa mbali sana. Nilikuja kuachana na hayo mambo ya hovyo nikiwa na 29yrs. Sikuacha mazima ila nilianza kuwa na mambo ya mpenzi mmoja sio kuchakata hovyo. CHA MUHIMU VIJANA WAHIMIZWE MATUMIZI YA CONDOM KWA SABABU HAWAZUILIKI. Mimi nilikuwa sikosi condom kadhaa kwenye begi hasa nikisafiri.
 
Sawa👍
 
Kjn una umri gani? Umekula wanawake 200 ulikuwa unashindana na nani?
 
Andika kwa kituo , umeniangaisha mno kwenye usomaji.
 
nakubaliana na wadau wanaosema "interval ya kufanya ngono inatokana na mwili ulivyouzoesha"

no fap challange imenifanya niamini hili.
pia nimejifunza, ukiachilia mbali kupiga punyeto na kufanya ngono, mwili unaweza kutoa sperms automatically kwa njia nyingine kama ndoto nyevu au wakati wakukojoa unawezashangaa mwishoni sperm zinatoka tu zenyewe.

kwaiohiyo sioni ajabu wala tatizo mtu akikaa mwaka mzima au zaidi hajafanya ngono au kupiga punyeto.
 
Kufanya ngono hovyo sio sifa. Hutakuja kupata tuzo/pesa/zawadi ya aina yoyote ya kufanya hivyo zaidi ni kujiongezea changamoto. Kama unaweza basi kaa kwa utulivu tunza nguvu zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…