Je, Ibrahim Bacca wa Yanga FC ni mwanajeshi? Majukumu yake Jeshini anatekeleza wakati gani

Braza katika michezo majeshi ya Tz ni Jkt pekee haya mengine yanatupotezea muda tu.
 
Braza katika michezo majeshi ya Tz ni Jkt pekee haya mengine yanatupotezea muda tu.
Hao JKT wanachojua ni kucheza rafu tu na Kushuka na Kupanda ligi kila Msimu..Kifupi Team zote za majeshi ni uozo Nimeshaleta Mada yake.. Team za Jeshi za Waarabu ndio Timu bwana watu wanapiga boli balaa
 
Ok
 
Niliwahi kusoma mahali kuwa ni askari wa KMKM na hata wazazi wote wawili ni maaskari wa aina fulani. Ila yeye Bacca alikuwa akichezea timu ya KMKM na alipopata ofa za timu za kiraia basi ikabidi aombe likizo isiyo na malipo huko KMKM hadi pale mikataba yake kwenye timu za kiraia itakapokwisha. Leo kukitokea vita ambayo hata KMKM itabidi kwenda mstali wa mbele basi atarudi jeshini KMKM mara moja.
 
Hao JKT wanachojua ni kucheza rafu tu na Kushuka na Kupanda ligi kila Msimu..Kifupi Team zote za majeshi ni uozo Nimeshaleta Mada yake.. Team za Jeshi za Waarabu ndio Timu bwana watu wanapiga boli balaa
Bora Jkt Jwee hakuna kitu kabisa yaani ni kichaka Cha kwenda kupumzika ... Unakuta OCD kabana huko na kapewa Ukapten na mpira wenyewe hachezi...masoja full kujivunja.

Mimi binafsi nitaenda na JKT Mana wakiwa na walimu wenye kuuelewa mpira huwa tunaona wachezaji wanavyo onesha walicho-nacho.
 
Mkuu usishangae mbona Kuna mwandishi wa habari alikuwa gazeti la Uhuru alipofariki akazikwa kipolisi ni Mambo ya kawaida hayo
 
Jeshi nchi hii ni moja tu JWTZ hivyo vingine ni vikosi mbalimbali. Kikosi cha kuzuia magendo, kikosi cha polisi, kikosi cha mgambo na n.k
 
Kuna yule Refa mshika kibendera anaitwa Komba kwenye ligi kuu Bongo.. yeye ni captain wa jeshi la polisi na kuna muda yuko bize kabisa na majukumu ya kimpira zaid. Nadhan kuna namna wanapewa ruhusa bila kuathiri kazi zao walizoajiriwa kwenye usalama.
Refarii ni tofauti na mchezaji.

Wachezaji wanabanwa zaidi.

Wengi wenu mtakuwa hamkumbuki kuwa Shadrack Nsajigwa na Ivo Mapunda walikuwa Askari Magereza.

Walipotakiwa na Yanga ilibidi waache kazi ili wasajiliwe Yanga.

Nakumbuka Nsajigwa hakuvunja mkataba wake vizuri Jeshi la Magereza likawa linamsaka kwa kesi ya utoro jeshini, ikabidi aende wamalizane vizuri.
 
Hakika wewe ni pwagu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…