AS Far rabbat ya wanajeshi na wanapiga kazi vizuri..
Ruvu shooting makazi yao yalijua kambini kabisa kuna wajeda humo walikua wanacheza Ligi na kazi wanapiga vizuri.
Jkt Tanzania,
Polisi TZ,Tz Prisons zote hizi zinafanyia mazoezi kambi za kijeshi na kuna wanajeshi wanacheza humo
Ukienda kwenye Boxing ndo wamejaa wajeda wakiongozwa na Selemani kidunda ambae anaingiaga na gari za jeshi kabisaa.
Jeshi ni Ukakamavu..So limeipa Michezo Nafasi na Kipaumbele.Jeshini kuna Vetting kama ambavyo vetting inafanywa kuanzia JKT..Wakikuona unakipaji cha Michezo aina yoyote wanakithamini na kuhakikisha unafika mbali..So suala la Majukumu ya Kijeshi utapunguziwa majukumu vilevile Utapunguziwa Mshahara lakini Misingi ya kijeshi utaendelea kuifata kama kawa.
Michezo(hasa mpira) imejaa wanajeshi wengi sana hata huko Duaniani Rugby ya US inaongoza kwa kuajiri wachezaji ambao ni wanajeshi
Pia Ulaya kuna beki wa Bayern anaitwa KIM ni mkorea kila akipata likizo(International break) anarudi korea kuripoti kambini...So majukumu wamepunguziwa na mshahara vilevile..