Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 761
- 6,985
Salam za rambirambi kwa Mpigania Demokrasia na mwasisi wa upinzani Zanzibar Ndg Maalim Seif.
Rais wa JMT ametangaza Maombolezo siku tatu na kwamba bendera itapepea nuzu mlingoti.
Rais wa Zanzibar ametangaza siku Saba za Maombolezo na bendera nusu mlingoti.
Je, siku za Maombolezo zipo kikatiba au kisheria?
Je, bendera ya JMT itapepea nusu mlingoti Zanzibar siku tatu au itakua nusu mlingoti kwa kwa siku Saba?
TUJIFUNZE kwa mzee wetu, ameacha historia