Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 761
- 6,985
Muelimishe anahaki ya kutaka kujua.Inafikia hatua tunahoji hata ujinga
Wala siyo hoja ya kijinga! Utaratibu lazima uwe wazi ili kuepusha hisani ya mtu kuamua muda wa maombolezo.Inafikia hatua tunahoji hata ujinga
Kwani wewe unaelewa?Kama unaelewa jibu, siyo kujifanya unajua.Inafikia hatua tunahoji hata ujinga
Ona hili jinga!Wala siyo hoja ya kijinga! Utaratibu lazima uwe wazi ili kuepusha hisani ya mtu kuamua muda wa maombolezo.
Watanzania wengi mmekuwa wapumbavu kwa kuabudu mtu badala ya kuzingatia sheria na kanuni.
Nataka nimkomeshe kwa sababu yeye ndiye ameanza kutoa lugha ya matusi na kuudhi!Aise nafikiri hamuelewi maana ya Great Thinkers na Jukwaa la Siasa, mwanasiasa lazima uwe na uvumilivu kwa usiyoyapenda...kuwa mvumilivu ndugu yangu (hii siyo Instagram) vijana wengi mlioingia JF mnaua hadhi ya JF
Muelimishe anahaki ya kutaka kujua.
Dikteta amesabisha watu wengi wamekuwa wajinga haswaWala siyo hoja ya kijinga! Utaratibu lazima uwe wazi ili kuepusha hisani ya mtu kuamua muda wa maombolezo.
Watanzania wengi mmekuwa wapumbavu kwa kuabudu mtu badala ya kuzingatia sheria na kanuni.