Je, IGP Sirro amepandishwa cheo? Naona nyota moja imeongezeka begani

Asante kwa ufafanuzi. Maboresho ni kwa IGP pekee au limegusa vyeo vya chini yake pia?
Hata Makamishna wa Polisi, nimemuona mmoja kwenye tv ana mkasi, ngao na nembo ya taifa, bila shaka ni maboresho ya uvaaji vyeo yamefanyika kwa Maafisa Wakuu hao wa Jeshi la Polisi.
 
iyo nyota moja iliongezeka ni symbol ya rank ya inspector kwa sababu inspector ndo cheo cha kwanza cha ofisa wa jeshi ya polisi lakin iyo ni nembo mpya kwa sasa kama walivobadili jwtz.
Ni kifungo, angalia vitu vifuatavyo itagundua kuwa sio nyota. Moja umbali kutoka nembo zingine lakini pili hata ukubwa au udogo wa hiyo inayohisiwa kuwa nyota na nembo zingine.

Hivi vitu huwa na skeli moja lakini pia nyota za polisi huwa kama visoda kimtindo.
 
Kifungo kipo mbele ya hiyo nyota cheki vizuri
 
Hata Makamishna wa Polisi, nimemuona mmoja kwenye tv ana mkasi, ngao na nembo ya taifa, bila shaka ni maboresho ya uvaaji vyeo yamefanyika kwa Maafisa Wakuu hao wa Jeshi la Polisi.
Maboresho ya kiutendaji.. kama hayo mabadiriko yata reflect utendaji wao sawa, ila kama utaendelea kuwa hivyo hivyo ni kazo bure
 
Kifungo kipo mbele ya hiyo nyota cheki vizuri
Mwanzo nyota haikuwepo, ulikuwa mkasi, ngao na nembo ya bibi na bwana, sasa hivi nyota imeongezeka. Hata Makamishna sasa hivi naona kuna mkasi, ngao na nembo ya bibi na bwana. Tofauti ya Kamishna na Inspekta Jenerali wa Polisi ni hiyo nyota iliyoboreshwa kwa IGP.
 
Iwe nyota isiwe nyota wewe na familia yako inakusaidia nini? Au nyie ndio wale mkishaenda jkt kwa mujibu na nyie mnaanza kujiona maafande.
 
Mwanzo nyota haikuwepo, ulikuwa mkasi, ngao na nembo ya bibi na bwana, sasa hivi nyota imeongezeka. Hata Makamishna sasa hivi naona kuna mkasi, ngao na nembo ya bibi na bwana. Tofauti ya Kamishna na Inspekta Jenerali wa Polisi ni hiyo nyota iliyoboreshwa kwa IGP.
Hapo nimekuelewa mkuu. Hii inamaanisha mabadiliko yamemgusa IGP na Makamishina pekee au madeputy kamishina (DCP's) nao wameguswa na haya mabadiliko?
 
Wameboresha tu hivyo vyeo ... nahisi ,IGP anakua kama brigedia general ( one star ⭐️ general)
Nafikiri wanataka kuvilinganisha hivi vyeo vya majeshi yetu maana wakati mwingine wakikutana maafisa wa TPDF na PT kunakuwa na ukakasi wa nani ni mkubwa kwa mwenzake.

Mfano Colonel akikutana na SACP nani ni mkubwa kwa mwenzake hapo?
 
Mwanzo nyota haikuwepo, ulikuwa mkasi, ngao na nembo ya bibi na bwana, sasa hivi nyota imeongezeka. Hata Makamishna sasa hivi naona kuna mkasi, ngao na nembo ya bibi na bwana. Tofauti ya Kamishna na Inspekta Jenerali wa Polisi ni hiyo nyota iliyoboreshwa kwa IGP.
Waongezewe na mwezi kabisa.
 
Back
Top Bottom