godson njamakuya
Senior Member
- Mar 6, 2021
- 170
- 196
Aaah! hapo lazima SACP aangushe saluti kwa Colonel. Kanali ni mkubwa kwa huyo Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi.Nafikiri wanataka kuvilinganisha hivi vyeo vya majeshi yetu maana wakati mwingine wakikutana maafisa wa TPDF na PT kunakuwa na ukakasi wa nani ni mkubwa kwa mwenzake.
Mfano Colonel akikutana na SACP nani ni mkubwa kwa mwenzake hapo?