Hapana kile pale mwisho Ni Kifungo Cha Kufungia hinyota . Umechanganya Sio nyota moja Ile Ni Kifungo.Leo nimeona ongezeko la nyota Moja mabegani kwa IGP Sirro. Je amepandishwa cheo au kumefanyika mabadiliko ya ndani ya cheo anachopaswa kuvaa IGP?
View attachment 2178631
View attachment 2178652
Hiyo nyota iliyoongezwa ni kwa ajili ya uboreshaji wa vyeo vya polisi tu, na siyo vya kupanda ngazi.Majukumu bado anafanya ya U-IGP. Swali langu ni ongezeko la nyota Moja mabegani.
Asante kwa ufafanuzi. Maboresho ni kwa IGP pekee au limegusa vyeo vya chini yake pia?Hiyo nyota iliyoongezwa ni kwa ajili ya uboreshaji wa vyeo vya polisi tu, na siyo vya kupanda ngazi.
Tazama kwa umakini haupo sahihi.Hapana kile pale mwisho Ni Kifungo Cha Kufungia hinyota . Umechanganya Sio nyota moja Ile Ni Kifungo.
Hata Makamishna wa Polisi, nimemuona mmoja kwenye tv ana mkasi, ngao na nembo ya taifa, bila shaka ni maboresho ya uvaaji vyeo yamefanyika kwa Maafisa Wakuu hao wa Jeshi la Polisi.Asante kwa ufafanuzi. Maboresho ni kwa IGP pekee au limegusa vyeo vya chini yake pia?
Ni kifungo, angalia vitu vifuatavyo itagundua kuwa sio nyota. Moja umbali kutoka nembo zingine lakini pili hata ukubwa au udogo wa hiyo inayohisiwa kuwa nyota na nembo zingine.iyo nyota moja iliongezeka ni symbol ya rank ya inspector kwa sababu inspector ndo cheo cha kwanza cha ofisa wa jeshi ya polisi lakin iyo ni nembo mpya kwa sasa kama walivobadili jwtz.
Kifungo kipo mbele ya hiyo nyota cheki vizuriNi kifungo, angalia vitu vifuatavyo itagundua kuwa sio nyota. Moja umbali kutoka nembo zingine lakini pili hata ukubwa au udogo wa hiyo inayohisiwa kuwa nyota na nembo zingine.
Hivi vitu huwa na skeli moja lakini pia nyota za polisi huwa kama visoda kimtindo.
Maboresho ya kiutendaji.. kama hayo mabadiriko yata reflect utendaji wao sawa, ila kama utaendelea kuwa hivyo hivyo ni kazo bureHata Makamishna wa Polisi, nimemuona mmoja kwenye tv ana mkasi, ngao na nembo ya taifa, bila shaka ni maboresho ya uvaaji vyeo yamefanyika kwa Maafisa Wakuu hao wa Jeshi la Polisi.
Mwanzo nyota haikuwepo, ulikuwa mkasi, ngao na nembo ya bibi na bwana, sasa hivi nyota imeongezeka. Hata Makamishna sasa hivi naona kuna mkasi, ngao na nembo ya bibi na bwana. Tofauti ya Kamishna na Inspekta Jenerali wa Polisi ni hiyo nyota iliyoboreshwa kwa IGP.Kifungo kipo mbele ya hiyo nyota cheki vizuri
Kama anapenda nyota akatengeneze za kwake.Ungezeko la Nyota ni cheo kwani wewe unashida gani nayo iyo Nyota 🔯🔯
Nilivoziona hizi picha zilinichanganya sana,at least Leo nimepata majibu
NYOTAHapana kile pale mwisho Ni Kifungo Cha Kufungia hinyota . Umechanganya Sio nyota moja Ile Ni Kifungo.
Hapo nimekuelewa mkuu. Hii inamaanisha mabadiliko yamemgusa IGP na Makamishina pekee au madeputy kamishina (DCP's) nao wameguswa na haya mabadiliko?Mwanzo nyota haikuwepo, ulikuwa mkasi, ngao na nembo ya bibi na bwana, sasa hivi nyota imeongezeka. Hata Makamishna sasa hivi naona kuna mkasi, ngao na nembo ya bibi na bwana. Tofauti ya Kamishna na Inspekta Jenerali wa Polisi ni hiyo nyota iliyoboreshwa kwa IGP.
Nafikiri wanataka kuvilinganisha hivi vyeo vya majeshi yetu maana wakati mwingine wakikutana maafisa wa TPDF na PT kunakuwa na ukakasi wa nani ni mkubwa kwa mwenzake.Wameboresha tu hivyo vyeo ... nahisi ,IGP anakua kama brigedia general ( one star ⭐️ general)
Sasa amepandishwa Cheo kua nani hasa ?Leo nimeona ongezeko la nyota Moja mabegani kwa IGP Sirro. Je amepandishwa cheo au kumefanyika mabadiliko ya ndani ya cheo anachopaswa kuvaa IGP?
View attachment 2178631
View attachment 2178652
Waongezewe na mwezi kabisa.Mwanzo nyota haikuwepo, ulikuwa mkasi, ngao na nembo ya bibi na bwana, sasa hivi nyota imeongezeka. Hata Makamishna sasa hivi naona kuna mkasi, ngao na nembo ya bibi na bwana. Tofauti ya Kamishna na Inspekta Jenerali wa Polisi ni hiyo nyota iliyoboreshwa kwa IGP.