Je, IGP Sirro amepandishwa cheo? Naona nyota moja imeongezeka begani

Nafikiri wanataka kuvilinganisha hivi vyeo vya majeshi yetu maana wakati mwingine wakikutana maafisa wa TPDF na PT kunakuwa na ukakasi wa nani ni mkubwa kwa mwenzake.

Mfano Colonel akikutana na SACP nani ni mkubwa kwa mwenzake hapo?
Aaah! hapo lazima SACP aangushe saluti kwa Colonel. Kanali ni mkubwa kwa huyo Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi.
 
Cheo kikipanda begani kinanoga. IGP Sirro ameamua kujikumbusha enzi zake za A/Insp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…