sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,704
- 9,932
Lissu tu anatoshaLissu pekee
Siku zote tuliwaambia Lissu sio mwanasiasa ni mwanaharakati, game kama hizi zinachezwa na wanasiasa.Lissu pekee
Mnasubiria nani awawekee uchaguzi huru na wa haki?Weka uchaguzi huru na wa haki. Mwache Lissu jela. Samia afanye campaign miezi mitano. Chadema wasifanye campaign.
Kisha tenga uchaguzi. By saa tatu asubuhi Lissu atakuwa rais wa hii nchi.
Mnakuza sana mambo πππππKikosi kiwe namna hii.
1. Dr Philip Mpango
2. Simbachawene
3. Mpina
4. Sugu
5. Job Ndugai
6. Dr Bashiru Alli
7. Halima Mdee
8. Josephat Gwajima
9. Kassim Majaliwa
10 Freeman Mbowe
11. Humphrey Polepole
Coach
Sinde Warioba
Supersubs
1. Boniyai
2. Kigwangwala
3. Gambo
4. Kabudi Paramagamba
5.
Ili ni jambo la kufikirika tu lakini ikiwa linaweza kutokea unakionaje kikosi dhidi ya kikosi cha Samia?
Day dreaming fckoffKikosi kiwe namna hii.
1. Dr Philip Mpango
2. Simbachawene
3. Mpina
4. Sugu
5. Job Ndugai
6. Dr Bashiru Alli
7. Halima Mdee
8. Josephat Gwajima
9. Kassim Majaliwa
10 Freeman Mbowe
11. Humphrey Polepole
Coach
Sinde Warioba
Supersubs
1. Boniyai
2. Kigwangwala
3. Gambo
4. Kabudi Paramagamba
5.
Ili ni jambo la kufikirika tu lakini ikiwa linaweza kutokea unakionaje kikosi dhidi ya kikosi cha Samia?
Bila shaka, nadhani team mwendazake wameanza kujipanga Kwa mapambano kuelekea uchaguzi mkuuNinahisi baada ya Slow Slow kutoka, watakuja wengine
Ukweli uchelewa ila unaishi,hao kina polepole hawana chochote Zaid ya matumbo yao.Siku zote tuliwaambia Lissu sio mwanasiasa ni mwanaharakati, game kama hizi zinachezwa na wanasiasa.
Lissu yupo jela sasa hivi anaamini umkontho wesizwe (bavicha) watampigania atolewe kama ilivyokuwa Mandela which is so utopian.
Sinza Nzima nahisi wewe tu ndo unashidaSiku zote tuliwaambia Lissu sio mwanasiasa ni mwanaharakati, game kama hizi zinachezwa na wanasiasa.
Lissu yupo jela sasa hivi anaamini umkontho wesizwe (bavicha) watampigania atolewe kama ilivyokuwa Mandela which is so utopian.