Je, ikitokea tukaachana na mwanamke mali tutagawana hali tuliwa hatukufunga ndoa?

Pjjmh

Member
Joined
Mar 20, 2026
Posts
5
Reaction score
3
Mimi ni nimeishi na mke wangu kwa miaka 8 I mean hatukufunga ndoa na tumefanikiwa
*kujenga nyumba
*kuwa na biashara ndogo ya uwakala
*Kupata watoto watatu

Ishu iko hivi mwaka mmoja uliopita nilianza kuhisi mahusiano kupoteza mwelekeo, hadi sasa mwanamke anadai tuachane akafanye maisha yake

Sasa swali langu ni hivi
Je ikiyokea tukaachana mali tutagawana hali tuliwa hatukufunga ndoa?
 
Kisheria ukiishi kinyumba siku 90 na mwanamke inahesabika ni ndoa kamili na anakuwa na haki zote za kugawana pasu kwa pasu faida au hasara kwenye chochote chenye majina yenu Kama wamiliki halali
 
Kuna kipindi ambacho ukiishi kinyumba na mwanamke mnagawa mali. Nafikiri ni mwaka mmoja.

Hapo unaenda kuumia. Mahakama itakuamuru uondoke katika nyumba mnayoishi na umwache hapo mama na watoto. Utatakiwa kupeleka hela ya matumizi kila mwezi na kama kuna mali zingine zitapigwa pasu kwa pasu. Tunapowaambia ndoa ni mkataba wa kitapeli kwa mwanaume muwe mnaelewa

Suala la kugawana mali kama hamjafunga ndoa kuna namna unaweza ukatumia loopholes za kisheria ukalinda mali zako. Tafuta mwanasheria akusaidie
 
Kisheria ukiishi kinyumba siku 90 na mwanamke inahesabika ni ndoa kamili na anakuwa na haki zote za kugawana pasu kwa pasu faida au hasara kwenye chochote chenye majina yenu Kama wamiliki halali
Dhana ya ndoa kwa mujibu wa sheria ya ndoa Cap 29 R.E. 2023
Kisheria ukiishi kinyumba siku 90 na mwanamke inahesabika ni ndoa kamili na anakuwa na haki zote za kugawana pasu kwa pasu faida au hasara kwenye chochote chenye majina yenu Kama wamiliki halali

kifungu 160 kinasema ni miaka miwili mfululizo mkiwa mnapika na kupakua
 
Mimi ni nimeishi na mke wangu kwa miaka 8 I mean hatukufunga ndoa na tumefanikiwa
*kujenga nyumba
*kuwa na biashara ndogo ya uwakala
*Kupata watoto watatu

Ishu iko hivi mwaka mmoja uliopita nilianza kuhisi mahusiano kupoteza mwelekeo, hadi sasa mwanamke anadai tuachane akafanye maisha yake

Sasa swali langu ni hivi
Je ikiyokea tukaachana mali tutagawana hali tuliwa hatukufunga ndoa?
Mali mnagawana ndio ila kulingana na mchango wa kila mtu, matunzo ya watoto pia yatazingatiwa. Hapo mtakosa divorce tu
 
Kisheria ukiishi kinyumba siku 90 na mwanamke inahesabika ni ndoa kamili na anakuwa na haki zote za kugawana pasu kwa pasu faida au hasara kwenye chochote chenye majina yenu Kama wamiliki halali
Sheria ya mwaka gani iyo? Jf kila mtu mjuaji! Ebu tupe iyo Sheria inayosema ivyo kwa heshima yako hapa tunajua uwezi kusema uongo.
 
Ukiweka mayai kwenye kapu moja mkuu. Jiandae na battle, usipokuwa makini hapo mali inahama.
 
Mali mnagawana ndio ila kulingana na mchango wa kila mtu, matunzo ya watoto pia yatazingatiwa. Hapo mtakosa divorce tu

Hapa umenena.
Na je akisema nyumba isiuzwe ila ipangishwe na hela inayopatikana ilee watoto?.
 
Mimi ni nimeishi na mke wangu kwa miaka 8
Wewe mwenyewe unamwita mke wako halafu unataka sheria isimtambua kua huyo ni mkeo?
Je ikiyokea tukaachana mali tutagawana hali tuliwa hatukufunga ndoa?
Unasema ikitokea mkaachana,mnaachana kwa sheria ipi au utaratibu upi? Watu wanao achana ni wale waliofunga ndoa tu,iwe kidini au kiserikali.

Watoto wako wana umri gani? Umri wao ndio utaamua waishi na nani, au watoto wachague Mahakamani wanataka kuishi na nani,

Anza kuwapanga watoto wako kuanzia sasa ila kama inawezekana kuvumilia mpaka watoto wakue itakua bora zaidi,

Mali zinatafutwa,hapo kitu muhimu kwako ni hao wanao zaidi,kama kuna mali unaweza kuzibadilisha jina kuanzia sasa,fanya hivyo,usikurupuke kuacha kuishi na huyo mwanamke,panga mipango yako kwanza,

Good luck.
 
Wewe mwenyewe unamwita mke wako halafu unataka sheria isimtambua kua huyo ni mkeo?

Unasema ikitokea mkaachana,mnaachana kwa sheria ipi au utaratibu upi? Watu wanao achana ni wale waliofunga ndoa tu,iwe kidini au kiserikali.

Watoto wako wana umri gani? Umri wao ndio utaamua waishi na nani, au watoto wachague Mahakamani wanataka kuishi na nani,

Anza kuwapanga watoto wako kuanzia sasa ila kama inawezekana kuvumilia mpaka watoto wakue itakua bora zaidi,

Mali zinatafutwa,hapo kitu muhimu kwako ni hao wanao zaidi,kama kuna mali unaweza kuzibadilisha jina kuanzia sasa,fanya hivyo,usikurupuke kuacha kuishi na huyo mwanamke,panga mipango yako kwanza,

Good luck.

Kwakuwa hawajaoana na hawana cheti cha ndoa.
Mahakama itawaamuru wagawane mali walizochuma pamoja kwasababu wameishi kwa pamoja.

Mtoa mada kasema wamejenga nyumba na wana biashara ya uwakala.
Means ni mali walizochuma wote ndan ya miaka 8. Na ndio zitagawanywa kwa wote wawili.

Kete nzur ya kucheza ni jamaa akatae nyumba isiuzwe ila ipangishwe na hela isaidie watoto.

Na Wote wawili watoke kwenye nyumba.
Watoto wabaki na Mama ili majukumu ya kulea yambane zaid mama.

Jamaa aanze maisha mapya.
 
Inawezekana pia But mwisho wa hiyo Nyumba itakuaje huko mbeleni? I mean watoto wamesha kua wakubwa tayari au jamaa kaoa kwingine na Mwanamke akaolewa kwingine.
 
Back
Top Bottom